Skip to main content
Jasusi

Jasusi

By Evarist Chahali

Available on
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM

JasusiMar 17, 2024

00:00
03:22
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM

Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM

Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" πŸ€”

Mar 17, 202403:22
Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi

Feb 06, 202404:20
Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI

Dec 09, 202310:00
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani

Aug 07, 202307:00
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E04: Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani

Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani
Aug 07, 202308:00
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E03: Tabia 14 Zinavyokwamisha Maendeleo ya Mtu

Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu
Jul 17, 202307:10
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E02: Vitu 15 Rahisi Kabisa Vya Kukuwezesha Kuwa Mtu Bora

Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development".
Jun 29, 202306:07
#JinsiYaKuwaMtuBora S01E01: Jiulize "Mimi ni nani"?

"Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo
Jun 17, 202303:10
Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari

Jun 11, 202310:00
Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?

Mar 16, 202310:10
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania

Mar 08, 202305:07
Happy Mother's Day

Happy Mother's Day

Happy Mother's Day
May 08, 202205:08
Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha Magufuli... kilichofuata sintokisahau maishani

Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa kwanza kutangaza kifo hicho. Lakini madhila yaliyonikumba baada ya kuweka taarifa hiyo hadharani, sintoyasahau. Nilitukanwa, nililaaniwa, nilitishwa, na kwa hakika laiti hao waliokerwa wangeweza kunifikia, bila shaka muda huu ningekuwa marehemu. Hatimaye, siku tano baadaye, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alitangaza kuwa kweli Magufuli amefariki. Nami ikawa ahueni kwangu. Baadhi ya walionitukana, walikuja kuniomba msamaha japo haikusaidia kitu. Hata hivyo nafarijika kwa kuwatumikia Watanzania ipasavyo na kuwa chanzo cha kuaminika cha habari mbalimbali.
Mar 11, 202208:10
Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)

Jan 02, 202210:05
#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022

Dec 25, 202101:20
Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake

Dec 10, 202117:01
Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia

Oct 01, 202111:06
Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama (SOSDiplomats), na Mhamasishaji Lishe Bora
Sep 12, 202123:21
Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji

Sep 10, 202114:10
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.

Sep 10, 202121:53
Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda

Sep 10, 202115:10
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi

Jul 23, 202113:37
Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Jul 05, 202106:07
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako

Jun 26, 202125:06
Maongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa Stars

Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania yetu kimataifa.
Jun 19, 202111:48
Mahojiano na Rahma Bajun: ameugua kipandauso miaka 21 na sasa amechapisha kitabu kuhusu ugonjwa huo

Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave."
Jun 16, 202112:30
Mahojiano Na Dokta @ZakayoMmbaga: Jinsi Kuuguliwa Udogoni Kulivyompa Hamasa Ya Kuja Kuwa Daktari

Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusuΒ 

πŸ‘‰ Jinsi kuuguliwa na nduguye kulivyomfanya atamani siku moja awe daktari, na hatimaye ikaja kuwa hivyo.Β 

πŸ‘‰ Jinsi kusaidia kuhudumia mifugo kulivyompa uzoefu wa kwanza wa kuchoma sindano na kutibu vidonda, na kumtamanisha zaidi kuja kuwa daktari.Β 

πŸ‘‰ Jinsi alivyorudi likizo na kukuta nduguye anaumwa kansa lakini ndugu wengine hawakufahamu na wakawa na matumiani kuwa mgonjwa atapona lakini yeye kama daktari mwanafunzi alifahamu kuwa mgonjwa huyo angefariki. Hata hivyo hakuweza kumwambia mtu yeyote, kitu ambacho kilimuumiza nafsini.Β 

πŸ‘‰ Jinsi gharama kubwa wanayoingia madaktari wanafunzi zinavyowafanya kuendelea kuwa na madeni yasiyolipika, huku jaribio la kujiendeleza kitaaluma likimaanisha madeni zaidi.Β 

πŸ‘‰ Jinsi mazingira magumu ya kazi yanavyofanya taaluma ya utabibu kuwa ngumu, hasa pale inapolazimika kumuelekeza mgonjwa aende hospitali ya rufaa ilhali uwezo wake kifedha ni mdogo.Β 

Kwa hakika mahojiano haya yanahamasisha, yanatafakarisha na yanasikitisha.

Jun 15, 202140:56
Mahojiano Na Mwanasiasa Mkongwe wa Chadema Na Upinzani ALLY BANANGA

Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi
πŸ‘‰ historia yake kisiasa,
πŸ‘‰ hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," πŸ‘‰suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema ambapo mmoja wa wabunge hao ni Hawa Bananga mke wa mhojiwa,
πŸ‘‰ "vita" kati ya baadhi ya "wanaharakati wa mtandaoni" wakiungwa mkono na viongozi na wafuasi wa Chadema dhidi msanii Diamond Platnumz anayewania tuzo za BET,
πŸ‘‰ utawala mpya wa Mama Samia na matajio, na
πŸ‘‰njia mwafaka ya kupata katiba mpya
Jun 13, 202122:04
Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa

Jun 11, 202105:08
Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila

Jun 11, 202111:11
Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa

Jun 01, 202109:09
Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia

May 20, 202114:07
Exclusive: Mahojiano Na Mbunifu Mavazi Wa Kimataifa SHERIA NGOWI.

Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI.
May 11, 202106:20
Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk

Apr 20, 202135:16
Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995

Apr 18, 202112:08
January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli

Apr 16, 202120:60
Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda

Apr 11, 202109:07
Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutengua Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING

Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING
Apr 06, 202113:08
Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021

Apr 05, 202113:07
Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti eg BoT

Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk
Apr 04, 202112:10
Jicho La Kiintelijensia Kwenye Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia
Apr 02, 202120:07
Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli

Mar 28, 202116:10
Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala

Mar 25, 202120:08
Mjadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais

Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais
Mar 24, 202119:60
Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa.
Mar 20, 202112:08
Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021

Mar 18, 202115:04
Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa.
Mar 16, 202110:07
Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba

Mar 14, 202126:11
Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Mar 13, 202110:10
#BreakingNews: Rais Magufuli Afariki Dunia

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba.
Mar 12, 202108:10