Skip to main content
Idhha y’a Kiswahili y’a Al’Imam Al’Mahdi

Idhha y’a Kiswahili y’a Al’Imam Al’Mahdi

By Idhaa Ya Kiswahili Ya Al’Imam Al’Mahdi

Idhha y’a Kiswahili y’a Al’Imam Al’Mahdi

youtu.be/4MfNy-QH45g
Currently playing episode

‎47 - ‏kifo cha Amiri Khalid Bin Suleman

Idhha y’a Kiswahili y’a Al’Imam Al’MahdiAug 30, 2022

00:00
01:28
‏Swahili : Mungu atapandisha joto hadi (digrii 151)
Dec 23, 202328:06
Swahili : Mungu ameipa ushindi jeshi la waumini kuikomboa Palestina kwa malaika …
Nov 25, 202309:40
Swahili : Gaza ya kimiujiza ni makaburi ya wale walioivamia..
غَزّةُ المُعجِزَةُ مَقبَرَةُ مَن غَزَاهَا..
Nov 19, 202332:27
Swahili : Sababu ya joto la hali ya hewa; Haki inapa juu Na Wala Hakuna kitu kitakua ju Yake..
Oct 07, 202326:36
Swahili : Fatwa ya kweli ya kutofautisha dalili za mtu aliyoambukizwa
Oct 07, 202303:30
Swahili : Tangazo la kuendelea kwa majira ya joto ya Saqr ni onyo kwa wanadamu..
Sep 22, 202322:36
Swahili : Kanuni ya ukweli ndani ya Qur’ani Tukufu inao toa Fatwa kuwa kila tendo lina mtendaji..
Sep 20, 202302:39
Swahili : 16 - Virusi vya Corona, hakika askari wa Mwenyezi Mungu wao ndio washindi, na mtajua..
Sep 13, 202321:28
Swahili : Halijoto ya hali ya hewa inaendelea kupanda kutokana na vuke ya jahanamu…
Sep 05, 202358:03
Swahili : 61- Siri Ya kupanda joto La Hali Ya Hewa..
‎سِرُّ ارتِفاع حَرارةِ المُناخ
Aug 31, 202317:29
Swahili: Hivi Punde haraka; Kwa wanadamu wote na kila mtu mwenye kutafakari..
Aug 18, 202324:44
Swahili : Bayana Ya “Al’Wildan” Wavlan Katika Muhakam Al’Quran, …
Aug 08, 202315:38
📌Sayari ya Saqr imekaribia sehemu katika nukta ya chini ya mwamba ya Nguzo ya kuba la anga kati …
Jul 24, 202324:04
Swahili : 3 - Virusi Va Corona Na Bayana Ya Uwamuzi Wala Sio Mchezo ..
Jun 05, 202317:22
Swahili : Amejibu Mwenye Ilimu ya Kitabu Kwa Habib Alhabib Na …
Jun 05, 202345:37
Swahili : Fedheha na Kashfa ya utungaji katika Ufalme..
May 30, 202333:12
Swahili : sajili ili Kufatilia kuwazidisha hadithi za kuvutia na kumbukumbu kwa wale wanaokumbuka..
May 30, 202326:25
Swahili : Kumsabeh Allah nayo ni aina kubwa zaidi ya kuomba …
May 30, 202327:02
Swahili : 59- Onyo kwa mataifa ya warabu na wasio Waarabu
May 30, 202325:52
Swahili : (Kurudisha Jibu Kwa Ashraf)
May 30, 202311:51
Swahili : 58_Taarifa muhimu kwa mataifa yote ya ufalme wa dunia..
May 14, 202316:37
Swahili : Kutoka Kwa Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Kwa Raisi Wa China Shi Jin ..
May 04, 202311:22
Swahili : Sababu ya kutokuwepo kwa sauti na sura ya Muhammed bin Salman…
May 04, 202328:45
Swahili : Basi kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini. Hakika Mwenyezi
Apr 27, 202314:52
Swahili : Mwenyezi Mungu awabariki kwa mwezi wa Ramadhani na siku zote za zama,
Apr 13, 202318:59
Swahili : Mtume wa Mwenyezi Mungu, …
Apr 13, 202329:04
41 -Onyo liliisha kwa mwezi wa Onyo..
‎اِنقَضى التَّحذير بالقَمَر النَّذير
Apr 06, 202320:29
Jibu ju ya mkusanyiko ya maswali ju ya mwanachama Alkatib Alazraq)
Apr 05, 202321:45
‎{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ}
Mar 30, 202303:08
Swahili :
Bishara njema, enyi Wakristo, kwa kuwa hakuwawa.
‎أبشِروا يا معشر النّصارى فإنه لم يُقتَل
Mar 30, 202330:09
Swahili:
Dua ya kuiimarisha nyumba yako isiporomoke ikiwa mmoja wenu atahisi tetemeko la ardhi
Mar 26, 202301:35
Swahili:
Miujiza isiyo ya kawaida ya Bikira Maryam
‎مُعجزاتٌ خارِقَةٌ لمريم العذراء
Mar 10, 202323:23
Alianza kutafsiri maono, lakini ikawa na kuwa Bayana ya umilele kwa kadara ilio kadiriwa,
Mar 09, 202328:51
56- Kwa Wazushi Wanajiolojia Katika Ilimu Ya Matetemeko Ya Ardhi ..
Mar 04, 202327:27
2 - Jibu la Mahdi Anayengojewa kwa Mshauri,
Mar 03, 202342:33
Enyi Waislamu Enyi Waislamu, ... ‎يا مُسلِمِين يا مُسلِمِين
Feb 25, 202318:16
Mridhike na yule ambaye Mungu amemchagua.
‎اٍرتَضوا بِمَن اِختَاره الله
Feb 21, 202301:55
43 - Onyo; Kupatwa kwa mbingu siku moja..
‎تحذيرٌ؛ كسوفُ السّماءِ يومًا ما
Feb 17, 202343:33
55- Mwaka Wa Kifo Hakuna Kuiepuka, Basi Wapi Pakukimbia?!
‎عامُ المَوتِ فلا فَوتَ، فأينَ المَفرُّ؟
Feb 02, 202313:05
53- Ukumbusho; Covid Inao Chimba Makaburi..
‎تذكيرٌ؛ كُوفيد حفّارُ القُبور
Jan 24, 202336:30
37- Haraka; Habari za janga kubwa duniani..
‎عاجلٌ؛ خَبَرُ طامّةٍ كُبرى عالميّة
Jan 12, 202319:58
Hivi Punde Kwa Kila Anae Hishimu Akili Yake Kama Binadamu
عاجلٌ لكل مَن يحترمُ عقلهُ كإنسان..

Hivi Punde Kwa Kila Anae Hishimu Akili Yake Kama Binadamu عاجلٌ لكل مَن يحترمُ عقلهُ كإنسان..

Hivi Punde Kwa Kila Anae Hishimu Akili Yake Kama Binadamu
عاجلٌ لكل مَن يحترمُ عقلهُ كإنسان..

YouTube :

youtu.be/rwabQSur374

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
22 - ربيع الثاني - 1444 هـ
16 - 11 - 2022 مـ
05:40 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umu Al’qura)

‏I’li Kusoma Bayana Kutoka Mawusuaa

‏https://www.mahdi-alumma.com/showthread.php?p=400822

Dec 05, 202222:41
Mwenye kunichukia na achimbe kaburi lake
‎مَن كان يكرهُني فليحفِر قبره..

Mwenye kunichukia na achimbe kaburi lake ‎مَن كان يكرهُني فليحفِر قبره..

Mwenye kunichukia na achimbe kaburi lake
‎مَن كان يكرهُني فليحفِر قبره..

YouTube :

youtu.be/s29lLb4SsDI

Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
‎الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
‎19 - ربيع الثاني - 1444 هـ
‎13 - 11 - 2022 مـ
‎03:08 صباحًا
(Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Umu Al’Qura)
‎(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
____________

www.mahdialumma.org/showthread.php?p=400350

Enyi watu, sikilizeni na muelewe habari hizi; Mungu aliniamuru katika maono ya kweli katika usingizi wangu siku ya Jumamosi tarehe: (12-11-2022) kutangaza yafuatayo:

(Anichukiaye na achimbe kaburi lake) imeisha. .

Je, ni wale tu wanaochukia mapenzi ya Mungu wanaonichukia? Basi Akavivunjilia mbali vitendo vyao kwa sababu ya ukafiri wao kwa ulingazi wangu kuabudu radhi za Mwenyezi Mungu, ambao ni kubwa zaidi kuliko neema ya Pepo yake. (Kwajil ya hivo amewaombeni); Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
‎{فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَا أَنتَ بِمَلُومٍ ‎﴿٥٤﴾‏ وَذَكِّرْ فَإِنَّ الذِّكْرَىٰ تَنفَعُ الْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٥٥﴾‏ وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ ‎﴿٥٦﴾‏ مَا أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَا أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ ‎﴿٥٧﴾‏ إِنَّ اللَّهَ هُوَ الرَّزَّاقُ ذُو الْقُوَّةِ الْمَتِينُ ‎﴿٥٨﴾‏ فَإِنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا ذَنُوبًا مِّثْلَ ذَنُوبِ أَصْحَابِهِمْ فَلَا يَسْتَعْجِلُونِ ‎﴿٥٩﴾‏ فَوَيْلٌ لِّلَّذِينَ كَفَرُوا مِن يَوْمِهِمُ الَّذِي يُوعَدُونَ ‎﴿٦٠﴾‏ }[سورة الذاريات].
[Sura: Adhariat]
Je! Furaha ya Mungu ndio wanaeichukia ambao ni neema kubwa zaidi ya neema ya pepo yake, isipokuwa kwa kila shetani Muasi? Ni wale waliochukia radhi za Mwenyezi Mungu juu ya waja wake na wakawa wanapingana Naye kwa vikali mno?!
Kwa sababu walitamani mungekufuru kama wao walivyokufuru, basi muwe pamoja nao kutoka kwa watu wa Motoni. Kwa sababu hawataki kutimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa waja wake.
Sio neema ya raha yake kuu au neema ya pepo yake ndogo. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
‎{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ۚ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ ‎﴿٧٢﴾‏ }[سورة التوبة].
[Sura: AT-Tawoba].

Je, Ulinganizi wangu kwenu ispokua tu kutomshirikisha Mungu, na kutomwomba Mungu pamoja nae mtu yeyote? Hakuna mpatanishi baina ya waja na Mola Mlezi anayeabudiwa - Ametakasika, Aliyetukuka - si duniani wala Akhera. Je! huu si wito wa Manabii wote wa Mwenyezi Mungu kutoka kwa majini na wanadamu?

Yeyote anayekataa mwaliko wa Khalifa wa Mwenyezi Mungu, Mahdi, Naseer Muhammad Al-Yamani; Alikanusha wito wa Manabii wote wa Mwenyezi Mungu, kutoka kwa majini na wanadamu, wa kumwabudu Mwenyezi Mungu peke yake, bila mshirika. Mwenye kunichukia na akakufuru wito wangu wa kweli, basi hatima yake ni Jahannamu na uamuzi mbaya. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
‎{ذَٰلِكُم بِأَنَّهُ إِذَا دُعِيَ اللَّهُ وَحْدَهُ كَفَرْتُمْ ۖ وَإِن يُشْرَكْ بِهِ تُؤْمِنُوا ۚ فَالْحُكْمُ لِلَّهِ الْعَلِيِّ الْكَبِيرِ ‎﴿١٢﴾‏ } صدق الله العظيم [سورة غافر].
[Sura: Ghaafir].

Naapa kwa Mwenyezi Mungu ambaye hakuna mungu isipokuwa Yeye anayechukia radhi ya Mwenyezi Mungu ndiye anayenichukia. Ni nani anayechukia radhi za Mwenyezi Mungu isipokuwa kila Shetani muasi, adui wa Mwenyezi Mungu na Mitume wake na wasii wake, Imam al-Mahdi?! Hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa maadui wa marafiki zake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
‎{قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ ‎﴿٩٧﴾‏ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّلَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَرُسُلِهِ وَجِبْرِيلَ وَمِيكَالَ فَإِنَّ اللَّهَ عَدُوٌّ لِّلْكَافِرِينَ ‎﴿٩٨﴾‏ وَلَقَدْ أَنزَلْنَا إِلَيْكَ آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ ۖ وَمَا يَكْفُرُ بِهَا إِلَّا الْفَاسِقُونَ ‎﴿٩٩﴾ } صدق الله العظيم [سورة البقرة]. [Sura: Al-Baqara].

Suala hilo limetatuliwa, na inaonekana kwamba wakati umefika wa kuamini kile kilichoelezwa katika kiungo kifuatacho cha taarifa hii:

Hakika Vita vya Corona na vita vy
Nov 13, 202206:24
‎‏Amerudisha jibu imam mahdi kwa mtangazaji wa kiarabu amabae ni muongo Muhammad arob3 ...
Nov 13, 202234:12
Lakini Swala Mbali Na Zilio Faridhiwa Ni Swala Za Nafli..

Lakini Swala Mbali Na Zilio Faridhiwa Ni Swala Za Nafli..

Lakini Swala Mbali Na Zilio Faridhiwa Ni Swala Za Nafli..

youtu.be/2jennm7is1I

الإمام ناصر محمد اليماني
14- 09 - 1431 هــ
24 - 08 - 2010 مـ
07:42 صباحاً
(بحسب التقويم الرسمي لأم القرى)

‏Kifurushi Cha Bayana

mahdialumma.com/showthread.php?p=281617

Nov 01, 202202:46
51 - Basi Yeye Mapenzi Yake Makubwa Mno Ju Ya Allah ...

51 - Basi Yeye Mapenzi Yake Makubwa Mno Ju Ya Allah ...

51 - ‏Hakika Atakae Ona Allah kua haiwezekani kabisa kwa moyo wake kwamba ataridhika mpaka ingie furaha katika Nafsi Ya Arahman basi hakika yeye mapenzi yake kwa Allah ni makubwa kabisa, Basi hatokua mnyonge wala kuskitika mpaka siku watu watakapo simama kwa Mola Mlezi wa ulimwengu, Na tosha Allah kua shahidi kwa yaliomo myoyoni mwa kaumu Anawapenda Allah na wanampenda pamoja ya kufanyika alama zote basi hakika wao hawzingojei..

youtu.be/sPbPkRcLp5o

فمن كان يجدُ أنّ الله شديدُ المِحال في قلبه أن يرضى حتى يحل الرضوانُ في نفس الرحمن فهو أشدّ حبًّا لله، فلنْ يهنَ ولنْ يستكينَ إلى يومِ يقومُ الناسُ لربّ العالمين، وكفى بالله شهيدًا بما في قلوب قوم يحبّهُمُ الله ويحبّونه رغم تحقيق الآيات أجمعين فإنّهم لا ينتظرون لها..


‏Al’Ima Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
01 - ربيع الأوّل - 1444 هـ
27 - 09 - 2022 مـ
11:39 صباحًا
‏(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

mahdialumma.com/showthread.php?p=397914
Oct 10, 202210:12
Hakika Ali'eleza Muhammad Juu Yake Swala Na Salam Ma'Kafiri ...

Hakika Ali'eleza Muhammad Juu Yake Swala Na Salam Ma'Kafiri ...

‏Hakika Ali'eleza Muhammad Juu Yake Swala Na Salam Ma'Kafiri Kuhusu Bustani Ya Allah Katika Mbingu Na Ardhi..
‏Tuta'Wazidisha Ilimu Kwa Idhni Ya Allah Kutoka Kwa Kitabu Cha Allah.

youtu.be/pcuyMjL3qEQ

الإمام المهدي ناصر محمد اليمانيّ
10- 06- 1430 هـ
04- 06- 2009 مـ
12:13 صبـاحاً
(بحسب التقويم الرسمي لأم القرى)

www.mahdialumma.com/showthread.php?p=397946

ــــــــــــــــــــــ
Oct 06, 202213:42
‏Khutba Ya Juma inao Kusanya iliobarikiwa ..
خُطبَةُ يَوم جُمعَةٍ جامِعَةٍ مُبارَكةٍ ..

‏Khutba Ya Juma inao Kusanya iliobarikiwa .. خُطبَةُ يَوم جُمعَةٍ جامِعَةٍ مُبارَكةٍ ..

‏Khutba Ya Juma inao Kusanya iliobarikiwa ..
خُطبَةُ يَوم جُمعَةٍ جامِعَةٍ مُبارَكةٍ ..

youtu.be/DOrcQXIaI4A

‏Al’Imam Al’Mahdi Naseer
‏Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
27 - صفر - 1444 هـ
23 - 09 - 2022 مـ
01:17 مساءً
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
_________

www.mahdialumma.org/showthread.php?p=397414
Oct 02, 202205:25
‎‏Haraka Kwa Ma Anssar Wote Na Waislamu Wanao ...

‎‏Haraka Kwa Ma Anssar Wote Na Waislamu Wanao ...

‏Haraka Kwa Ma Anssar Wote Na Waislamu Wanao Mpwekesha Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu..

YouTube :

youtu.be/W3jt8c9VbHw

‏Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani
24 - محرَّم - 1444 هـ
22 - 08 - 2022 مـ
08:07 صباحًا
‏(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
____

www.mahdialumma.com/showthread.php?p=395766

Sep 21, 202221:11
11 - Corona Virus Na Tangazo La Muujiza Ya Uponyaji Bila Chango Wala Dawa ..

11 - Corona Virus Na Tangazo La Muujiza Ya Uponyaji Bila Chango Wala Dawa ..

11 - Corona Virus Na Tangazo La Muujiza Ya Uponyaji Bila Chango Wala Dawa ..
فيروس كورونا وإعلان معجزة الشفاء من غير لقاحٍ ولا دواء ..

youtu.be/zkyYF2Xs_O0

Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’YMani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
24 - ربيع الآخر - 1442 هـ
09 - 12 - 2020 مـ
09:01 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )


[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
‏https://www.mahdialumma.com/showthread.php?p=340081

____

Sep 16, 202204:55