Skip to main content
Jesse CAme Athi podcast.

Jesse CAme Athi podcast.

By Jesse Came Athi

This podcast is all about sharing my poetry with you and giving you my opinion on social, economic and political matters. Welcome and enjoy.
Available on
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Maisha Ni Rahisi

Jesse CAme Athi podcast.May 10, 2021

00:00
01:48
Maisha Ni Rahisi

Maisha Ni Rahisi

Si wazo njema kufanya maisha kuwa magumu zaidi ya vile yalivyo. Ni bora kufahamu kwamba una uwezo wa kuzuia mabaya kukufanyikia kwa kujizuia kutenda matendo ambayo yangesababisha kilio kwako. Jua kwamba yote unayoyapitia, kwa njia moja ama nyingine umechangia pakubwa kuyasababisha bila ya kujua. Una uwezo wa kufanya maisha yawe jinsi unavyotaka kwa kuwa na mtazamo mwema wa maisha. Cha msingi ni kuhakikisha kwamba dhana yako si potovu na kujizuia kuwaza mawazo ambayo yanaweza kukuelekeza kutenda mambo yaletayo maafa. Maisha Ni Rahisi, tusiyafanye yawe magumu. Tusipotii tutapitia magumu kwa sababu anayetuambia tutii anataka tuwe na wakati mwema na anajua tusipotii tutapitia wakati mgumu sababu mambo hayataingiana inavyofaa. Kupinga ukweli Ni kama kupiga ngumi ukuta sababu hakuna siku utaweza kuhalalisha uongo. Hakuna siku maji yataitwa mawe na hakuna siku mawe yataitwa maji. Hakuna siku shetani atakuwa Mungu na Mungu hawezi kuwa shetani. Hakuna siku giza litawiana na mwangaza. Maisha ni rahisi, wacheni kuyafanya magumu mkikataana na ukweli ambao unaonekana wazi kabisa. Wacheni kutafuta njia mbadala wakati njia sahihi Haina kasoro na haijafeli wenye haki. Usipotii , maisha Ni magumu. Ukitii, Maisha ni rahisi. Mimi Jesse Kimathi naona afadhali kutii badala ya kupiga ngumi ukuta na kuumiza mkono wangu. Unaposkiza hili shairi natarajia mtazamo wako kuhusu maisha ni wa ukweli.
May 10, 202101:48
Amkeni. Acheni kukaa tu mmenyamaza watu wenye mmeweka mamlakani wakifanya vile wanataka.

Amkeni. Acheni kukaa tu mmenyamaza watu wenye mmeweka mamlakani wakifanya vile wanataka.

Simameni Kama wananchi na kwa sauti moja mseme, "imetosha. Hatutagawanywa tena kwa misingi ya kikabila. Hatutanyamaza tena haki isipotendeka. Hatutawacha kiongozi tuliyechagua amalize muhula bila tukeleza majukumu aliyoahidi alipokuwa akiomba Kura. Hatutakubali wanasiasa wafanye Mali ya umma Mali yao binafsi. Hatutakubali pesa za umma ziwe za watu binafsi." Una haki kwa hivo usiwe mnyonge. Kama mtu asiye na haki yoyote ana ujasiri wa kusimama mbele yenu na kuwaomba kura, je wewe mwenye una haki zote? Tunafaa kuungana pamoja sisi Kama wananchi na kuongea kwa lugha moja pasi kufuatilia asemayo kiongozi wa kabila letu ila tufuatilie iliyo haki na kweli. Tusikubali kudang'anywa tena. Sisi ni kabila moja. Sisi ni watu weusi tusitawanyike kwa vikundi vidogo vidogo vya kikabila sababu utengano ni udhaifu. Umoja Ni nguvu.
Mar 23, 202102:22
THE DARK CONTINENT IS ABOUT TO BE FULL OF LIGHT.

THE DARK CONTINENT IS ABOUT TO BE FULL OF LIGHT.

Africans have been in darkness for a very long time. The light of Jesus is a about to do away with darkness and righteous people will see clearly amidst darkness. Politicians and deceptive businessmen have kept innocent citizens in the darkness so that they can keep on enriching themselves off the unknowing people. But God will punish the deceitful people and only the righteous will see the light of day.
Mar 22, 202102:31
HAWAJAHI SHEREHEKEA SIKUKUU

HAWAJAHI SHEREHEKEA SIKUKUU

Have you seen that people are struggling daily. People who have nothing to smile about. That's the plight of African citizens due to greedy politicians who keep every good thing to themselves and give the citizens who chose them a rough time. A time is coming soon when we will have leaders are who put God first, the nation second, then themselves last. A time will come when leaders will realize there is no need of claiming to be a billionaire in a country that has debts amounting to trillions of money.
Mar 21, 202107:58
AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.

AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA.

Ushawahi tamani kujua Jambo halafu ukishalijua unaanza kutamani usingelijua? Ushawahi zoea kuona halaiki ya watu ikielekea upande fulani ukatamani kujua ni kipi huwaelekeza kule ama hao hupata Nini uko wakifika ? Hamu ya kutaka kujua ikafanya ukawafuata ukajipata unetegwa mtegoni ukashindwa kujinasua. Ukajipata umekuwa mlevi wa ngono, Pombe ,sigara, bangi na zinginezo mpaka ukajuta kujua,ukajiwazia, "Ningejua singejua?" Lengo la hili shairi ni kukufanya ufikirie yale maneno unasemanga afadhali usingeyajua.
Mar 20, 202102:46
Dear innocent lady. This is what feminists don't want you to do.

Dear innocent lady. This is what feminists don't want you to do.

I hope that when you look into a man's eyes you don't only expect to see designers; Gucci, Dolci & Gabana. I hope that when you look into my eyes you see deeper than that because when I look into your eyes I see beyond the surface. When I look into your eyes I don't just see your African waist and your fine face. When I look into your eyes I imagine that you are brilliant enough to not give your soul to the money heist with the sex heist. When I look into your eyes I see a woman with brains. I see a woman who doesn't haste into having meaningless fun. I see a woman who only has meaningful fun. I see a leader. Not a leader who just wants to represent women. A leader who understands that men and women are one thing; humans. A leader who understands that there is no problem for one gender. If a man is hurt, women get affected. If a man is hurt, women get affected. Men and women were made for each other. To compliment each other not to insult each other. To complete each other not to be apart from each other. Men and women were divinely designed to fit in together. Like a charger and the socket where the charger is plugged in. Like pestle and mortar. Understand that being empowered doesn't mean that you should defeat a man.
Mar 19, 202102:42