Skip to main content
Lil Ommy Podcasts

Lil Ommy Podcasts

By Lil Ommy

Lil Ommy - The award winning media personaly, Host of the Playlist. Listening to The Playlist, a show that Lil Ommy hosts on Times FM, you will instantly notice a difference in his presenting style. The off-the-cut questions that at times catch guests unawares have beguiled his hosting flair to the thousands of listeners who tune in everyday.

Available on
Apple Podcasts Logo
Castbox Logo
Google Podcasts Logo
Overcast Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Lil Ommy Podcast: With Bongo Zozo S02E04

Lil Ommy PodcastsDec 07, 2021

00:00
57:09
Lil Ommy Podcast: With Bongo Zozo S02E04
Dec 07, 202157:09
Lil Ommy Podcast: With Idris Sultan S02E03

Lil Ommy Podcast: With Idris Sultan S02E03

Kwa mara ya kwanza IDRIS Sultan ameongelea kwa urefu kuhusu Movie ya Mwalimu Nyerere ambayo itamuwezesha kushinda Tuzo kubwa za Movies duniani za OSCARS.

Je, Idris Sultan atafanya movie na aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu?

Utacheka mpaka basi katika interview hii, Utajifunza mambo mengi makubwa kutoka kwa Idris Sultan ambaye alipanda sana kimaisha, akashuka, akamaliza Pesa zote alizoshinda BBA (Million 600), Kulala njaa, kujifungia ndani, kufukuzwa nyumbani hadi kuwa Director mkali wa Movies na Series ambazo zinaoneshwa Netflix na DStv! I Refuse to Stop! amesema Idris. Utajiri wake ameutaja hapa ukiwa msikilizaji mzuri utagundua hilo!

Subscribe channel hii, LilOmmyTV, Comment, Like na Share video hii na zingine kibao kwenye groups zako wa WhatsApp na Mitandao ya Kijamii.

#LilOmmy #IdrisSultan #Podcast

Studios: AV Media TZ
Dec 07, 202101:17:48
Lil Ommy Podcast: With Maua Sama S02E02
Dec 07, 202154:57
Lil Ommy Podcast: With Chid Benz S02E01

Lil Ommy Podcast: With Chid Benz S02E01

Utamjua Chid Benz kuanzia anaingia kwenye game, maisha aliyopitia hadi leo 'WATU WALIKUWA WANAJUA MIMI NAKUFA' Humu ndani kuna story zote kuhusu Ruge, Babu Tale, Diamond, Alikiba, Joh Makini, Rayvanny, Madawa, Madee, MB Dog, Fid Q, Mwana FA, AY nk

Chid humu ndani kaongea UKWELI MTUPU.

Susbcribe channel hii, LilOmmyTV, Comment, Like na Share video hii kwenye Groups zako za WhatsApp
Dec 07, 202101:54:40
Rick Ross awaongelea Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto, Drake, Kuja Serengeti, Mlima Kilimanjaro

Rick Ross awaongelea Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto, Drake, Kuja Serengeti, Mlima Kilimanjaro

Rapa mkubwa wa Marekani, Rick Ross amefanya interview LIVE kwa njia ya Mtandao na Mtangazaji maarufu Tanzania, Lil Ommy, The King of Interviews na kuongea mengi kuhusu mpango wake wa kufungua tawi la lebo yake MMG (Maybach Music Group) Afrika, kuwa tayari kutumia lugha ya kiswahili kwenye nyimbo zake, kuwekeza Afrika, Tanzania, kutembelea Serengeti na mlima Kilimanjaro kwa muda wa wiki moja, Biashara zake na Belaire, Villon, Wingstop n.k Katika interview hii, Rozay The Boss amelezea mambo zaidi ya 10 yatakayokufanya ufanikiwe katika Maisha, pia ameongelea alivyofanya wimbo na Diamond Platnumz (waka waka, ilikuaje), ukaribu wake na Hamisa Mobetto, Drake, Belaire, Villon pamoja na Biashara zake Wings, Kumiliki magari zaidi ya 100, kununua magari ya zamani, Nyumba yake kutumika kwenye Movie ya Coming 2 America 2 (The Royal Palace). Rick Ross ameachana pia Grammy, amezungumzia kitabu chake kipya 'The Perfect day to Boss Up' jinsi anavyoamka asubuhi, vitu anavyofanya na kila kitu kuhusu Muziki na Maisha yake! Lil Ommy, amemuliza pia kuhusu kumiliki leseni ya gari akiwa ana magari zaidi ya 100 na hakuwa kuwa na leseni! Subscribe Channel hii, LilOmmyTV kuangalia full interview ambayo imewekea tafasiri ya kiswahili kwa uelewa zaidi. Like & Comment! Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfa... https://wlo.link/@lilommy https://lilommy.com/ Subscribe, Stream, Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter.
Sep 20, 202138:01
The Playlist E02: Aslay

The Playlist E02: Aslay

Aslay: Kitu anachoimba kila siku vile vile / hamna utofauti wa kutisha sana / Nandy na mipango yake

Feb 09, 202020:35
The Playlist E01: Salama Jabir

The Playlist E01: Salama Jabir

Salama Jabir: Hawezi kutoka bila kupaka make up / Mwana FA / AY / Tunagombana kila siku

Feb 09, 202041:41