Skip to main content
LOVE UNTOLD PODCAST

LOVE UNTOLD PODCAST

By love untold podcast

"Love Untold (Jesus Love)" is a podcast that explores the transformative power of Jesus' love in our lives. Hosted by passionate speakers it features personal testimonies and scripture-based teachings to provide practical insights and inspiration for those seeking to deepen their experience of Jesus' love. Join us on this journey of discovering the untold love of Jesus.



Available on
Apple Podcasts Logo
Google Podcasts Logo
Overcast Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

life topics, music, movies, spiritual being

LOVE UNTOLD PODCASTFeb 03, 2022

00:00
01:49
SHUKRANI YA PUNDA MATEKE

SHUKRANI YA PUNDA MATEKE

Ibada ya Tarehe 21/1/2024
Sermon Summary
Mch: Ephraim Mbila.
1Samweli 25
Habari ya Nabali.
Somo: Shukurani ya Punda ni Mateke.
Nabali alikua ana mifugo yapatayo 4,000 na wachungaji. Daudi alipokua eneo alilokua akifanya machungi aliweza pia kufanyika ulinzi wa mifugo yake pamoja na wachungaji wa mifugo yake.

Maana ya jina Nabali - mtu Mpumbavu
“a Fool”. Ijapokua alikua na mali nyingi lakini alikua mtu muovu,aliyekosa adabu. Ijapokua ni mtu mpumbavu na muovu Alipata mke mzuri Abigail -maana ya jina lake “furaha ya baba yake.”
Abigail aliutambua udhaifu wa mume wake na kwa hekima aliufunika.

Katika habari iliyo katika kitabu hiki, Inafika kipindi cha Mavuno kwa Nabali na Daudi awatuma vijana wake kwa Nabali kwamba aweze kumpa chochote kwa ajili ya jeshi lake na yeye. Majibu ya Nabali yatoka kwa kiburi na yenye jeuri na anasisitiza kua hamtambui Daudi, wala kazi ile ya ulinzi Daudi na Jeshi lake waliofanya kwa mifugo na wachungaji wake.

Tutafakari Mungu anapokuja kwetu na yeye ndiye aliyetupa yote tulionyayo si kwa kustahili bali kwa neema yake.
Je tunajibu nini?

Mfano:(Mafuriko haya yaliyoleta maafa makubwa na upotevu wa maisha je ni nini cha ziada tulichofanya kustahili kua salama?)

Ni wachache huingia kwenye maombi kuomba walivyonavyo iwe ni watoto,ni kazi ni elimu. Je ni kweli kwamba vyote tuliomba kwa Mungu ndio maana amekupa au Je ni kweli kua vingi ambavyo tunavyo tumejikuta tumevipata.

Ni kweli pia kua kuna ambavyo tumeomba na hatujapata kwa kua tunaomba vibaya kwa ajili ya tamaa zetu wenyewe. Ila ni mengi Mungu hututendea na bado tumekua wenye kiburi kutambua ya kua vyote tulivyo navyo ni kwa utukufu wake.

Mfano wa mchungaji: “Nimepaki V8 nje ya kanisa ili kila atakaeulizwa ajibiwe ni la Mch: Mwakajangwa , wanikome na waniheshimu”

Bila Mkono wa Mungu aliye Hai haiwezekani kufanikiwa. Si kwa ujuzi wala uwezo tulionao tusiwe wapumbavu kama Naabali “a fool”

Je Tunajibu nini tunapotakiwa kuwatunza watumishi wa Bwana? Hua tunajibu nini?
Tumeongea maneno ya jeuri na maneno magumu kwa watu. Kama nabali tumejibu majibu magumu na yasiyofaa mbele za Mungu.

Jibu la Daudi;
Anachukua Silaha na jeshi zima kwenda kumaliza familia ya nabali wala hakuna ataesalia. Ni kwa kiburi chake ameleta uangamivu kwenye familia yake. Japo Abigail kwa hekima aliweza kuzuia hilo Nabali alikufa kwa ugonjwa wa moyo.

Siri kubwa ni mkono wa Mungu kwenye maisha yetu unapotoweka basi shetani huchukua nafasi.
Mungu ni Mungu mwenye hasira ingawa biblia inasema si mwepesi wa Hasira bali ni mwingi wa rehema. Tusiwe kama Nabali mpumbavu na kupelekea Mungu kuchukua kiti cha hukumu kwenye maisha yetu.
Neno la Mungu ni amri, maneno ya Mungu ni maagizo ni katika utii ndipo tutaweza kutenda sawa sawa.

Tafakari
Je yawezekanaje mtu kulalamika wazi juu ya maombi kanisani?
Je yawezekanaje mtu kupinga waziwazi ajenga za Mungu kanisani hasa juu ya utoaji?
-“Kwanini tutoe ujenzi?”
“Kwanini tutunze madhabahu?”
“Kwanini tuchangie wagonjwa?”
“Kwanini huu msiba tuchange?”

Maombi ni muhimiri wa kanisa , ni vyema kua na akili na kutambua hawa watu wenye maswali yapingayo agenda za Kimungu ni chanzo cha uharibifu kanisa, Na kama “upumbavu” wa Nabali kupeleka anguko letu.

Luka 7:1-10
Habari ya akida aliyepata uponyaji kwasababu ya mema aliyofanya kwa taifa la israel na ujenzi wa Sinagogi.

Funzo: katika kutoa kwake aliweza kupata kibali cha kusikilizwa na habari yake kufikishwa kwa Yesu na kupata uponyaji.

Kuelekea sikukuu ya uwakili tukaseme Mungu asante kwa yote aliyotupa na tukatoe sawasawa na uaminifu wetu kwa Mungu. Tuachane na uoga wa maisha haya vinywa vyetu visiwe vyepesi kutamka madhaifu “Januari ni mwezi dume” tukiri maneno ya Mungu wakati wote bila kuangalia mazingira.

Mwanakondoo Ameshinda.
Jan 21, 202417:38
GOD AS A SHEPHERD

GOD AS A SHEPHERD

Unapo kuwa unasoma zaburi ya 23 usisome kama kawaida ya kusoma kwako bali isome zaburi ya 23 kama kondoo ambaye ana muomba mchungaji wake ambaye ni Bwana Mungu wetu awe kiongozi katika maisha yake siku zote bila kukata tamaa... ukiamini kwamba Bwana ni mchungaji wako basi kubali kuchungwa naye na kwenda pale anapo kuelezeka. Karibu usikilize ujumbe huu Mungu amelenga ukufikie wewe hapo ndio wewe hapo
Oct 31, 202319:16
MIMI NIPUNGUE by Mwl Onorodgers

MIMI NIPUNGUE by Mwl Onorodgers

MIMI NIPUNGUE WEWE UONGEZEKE Yohana 3:25 Basi palitokea mashindano ya wanafunzi wa Yohana na Myahudi mmoja juu ya utakaso. 26 Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng’ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea. 27 Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. 28 Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. 29 Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi. 30 Basi hii furaha yangu imetimia. Yeye hana budi kuzidi, bali mimi kupungua. =>Haya maneno inawezekana tumewahi kuyasema mara kadhaa kumwambia YESU aongezeke na sisi tupungue.... Au mara nyingine tumetumia maneno haya “YESU jitwalie utukufu na mimi sichukui hata chembe ya utukufu Mambo gani ya kujifunzaa? 1)-YESU anapochukua nafasi ni kweli kila kitu kinabadilika; yaani unapompatia yeye nafasi ni lazima utegemee mabadiliko 2)Lazima uwe tayari kwa hayo mabadiliko yatakayo mpatia yeye kuongezeka na wewe kupungua =>Tunafikiri kuongezeka ni lazima iwe imetokea ndani yetu na kumbe si hivyo anaweza akaongezeka lakini si kupitia wewe hapo ofisini,hapo kazini,hapo mtaani au kwenye hiyo huduma.Ila wewe hauko tayari Mfano; unampa YESU KRISTO nafasi hapo kazini kwenu na unaingia kwenye maombi ya mzigo sana juu ya changamoto mnayoipitia hapo ofisini au kwenye huduma au biashara,na saa nyingine anakupa hata maelekezo ya namna ya kuomba na hata SADAKA ya kutoa....... Halafu kweli anaingilia kati yeye YESU na kuondoa ile shida lakini sifa anapewa kiongozi wako na si wewe, Sifa anapewa yule mwenzio ambaye ni mtesi wako hapo ofisini na si wewe, Sifa anapewa yule mpinzani wako kwenye fellowship na si wewe, Nini nachotaka tujifunze? Ni kweli YESU KRISTO anaweza kuongezeka na wewe ukapungua ila hatukotayari kuona hilo maana ndani yetu bado kuna roho ya mashindano na sio roho ya kuujenga ufalme wa MUNGU tunataka YESU aongezeke na sisi tuongezeke hapo hapoo KWANINI NI MUHIMU KUELEWA JAMBO HILI? 1)-Kazi ya MUNGU acha ibaki kuwa ya MUNGU ni sio yakwako hata kama MUNGU alikutumia kwa machozi na gharama kubwa hapo kabla wakati haionekani.... Ikishatimia na kuonekana unaweza hata usitambulike au kutambulishwa jinsi ulikuwa na bidii na hiyo kazi KISIKUMBUE mwachie mwenye kazi aongezeke wewe upungue Saa nyingine utasemwa kwa aibu ili uondolewe hashima yote na kufedheheshwa kabisaa...ZIDI KUPUNGUA ILI YEYE AONGEZEKE Unaweza kujiuliza swali kwanini YESU KRISTO aruhusu hivyo? JIBU;Kunawakati YESU KRISTO anatako uondoke kwenye picha,sport light (mstari wa mbele) ili aendelee kukutumia vyemaa. Unaweza usijue lakini kupungua kwako ndio njia YESU KRISTO ameitumia kukuondoa kwenye kisasi cha adui baada ya hiyo kazi MUNGU alikutumia.....saa nyingine ni yeye amekuficha ACHA WAONEKANE WENGINE wewe baki ukimtukuza YESU KRISTO
Sep 19, 202323:40
LET GOD BE YOUR ALPHA AND OMEGA IN YOUR RELATIONSHIP

LET GOD BE YOUR ALPHA AND OMEGA IN YOUR RELATIONSHIP

In this podcast episode, the importance of having God as the center of a romantic relationship is discussed. By relying on His guidance and grace, couples can strengthen their love for each other and build a strong foundation for their future together. The episode encourages listeners to prioritize their relationship with God in order to foster a healthy and lasting relationship with their partner.
Aug 27, 202329:51
"Inviting God into Your Daily Decisions: Letting Him be Your Alpha and Omega" -

"Inviting God into Your Daily Decisions: Letting Him be Your Alpha and Omega" -

"Inviting God into Your Daily Decisions: Letting Him be Your Alpha and Omega" -

This episode seeks to encourage listeners include God in every decision they make, no matter how small or insignificant it may seem. We explore the of letting God be the center of all our decision-making, allowing Him to guide us and shape our lives. Join us as we discuss how to seek His will in all things and how to trust that His plans for us are always good. Tune in to learn how to make God the Alpha and Omega in your daily decisions.
Aug 20, 202332:25
USIRITHI MAADUI !

USIRITHI MAADUI !

Don't Inherit Enemies"
is a podcast episode that offers biblical wisdom and practical advice on how to live at peace with everyone. As Christian youth, we are called to love our enemies and bless those who persecute us.
The hosts discuss the importance of forgiveness, humility, and grace in dealing with personal conflicts and disagreements.
They also highlight the example of Christ, who showed us how to overcome evil with good and live in harmony with one another. Tune in to this episode to learn how to navigate conflicts, build healthy relationships, and reflect Christ in your interactions with others.
@loveuntoldpodcast
Jul 30, 202326:50
BE UNAPOLOGETIC!

BE UNAPOLOGETIC!

This episode of love untold Podcast,we discuss the importance of being unapologetic as a Christian, standing up for our faith, belief and crazy decisions we get from God and not being a people pleaser. It provides practical tips and encouragement to prioritize our relationship with God over the opinions of others.
Jul 16, 202320:54
THE OTHER SIDE OF BEING A CHRISTIAN

THE OTHER SIDE OF BEING A CHRISTIAN

In this episode of the Love Untold podcast, we explore the other side of being a Christian - the reality of backsliding. As believers, we often find ourselves struggling with sin and temptation, and may feel disheartened or even ashamed when we slip up. However, the key is to stick to our routines and keep striving towards God, even in the midst of our failures. Join us as we discuss how to overcome backsliding and remain steadfast in our faith.
Jul 09, 202316:42
YE OF LITTLE FAITH

YE OF LITTLE FAITH

In this podcast episode, we explore the concept of having little faith, using the biblical story of Peter walking on water as an example. We delve into the lessons that can be learned from the story and how to apply them to our own lives. We discuss the importance of keeping our faith strong, even in the face of adversity, and how to trust in God's power to guide us through difficult times. Overall, this episode aims to inspire listeners to have a deeper understanding of the role of faith in our lives and to overcome any doubts that may hold us back.
Jul 02, 202328:49
CHURCH HURT

CHURCH HURT

Kuna Mambo Mengi Sana Yanaendelea Ndani Ya Kanisa Mengine Mazuri.. Mengine yanaumiza Watu Kwa Namna moja au nyingine. wapo watu wengi wameumizwa na kauli au tabia za watu ambao wapo ndani ya kanisa.. episode hii tunaenda kuweka msingi mzuri wa lengo au dhima kuu ya kanisa…. karibu usikilize,usambaze upendo na kwa watu wengine….
Jun 25, 202330:42
PATIENCE IS A VIRTUE TO A CHRISTIAN YOUTH

PATIENCE IS A VIRTUE TO A CHRISTIAN YOUTH

This podcast episode focuses on the importance of patience as a virtue for Christian youth. It discusses the benefits of developing patience in relationships, character development, and personal goals, and offers reflections on how to cultivate patience in a fast-paced world. By drawing on biblical teachings and personal experiences, the episode encourages listeners to embrace patience as a way to grow closer to God and lead a more fulfilling life.
Jun 18, 202335:02
FINDING YOUR TRIBE

FINDING YOUR TRIBE

In this podcast episode, the hosts discuss the importance of finding people in your life who can provide the emotional support you need, and offer tips and strategies for identifying these individuals and cultivating strong relationships with them to build a solid support network for your mental health.
Jun 07, 202338:17
SEEKING HELP IS A SIGN OF STRENGTH AND NOT WEAKNESS

SEEKING HELP IS A SIGN OF STRENGTH AND NOT WEAKNESS

The "Seeking Help is a Sign of Strength and Not Weakness" episode of the Love Untold podcast features speakers who share their personal experiences with men's mental health through voice notes. Listeners can expect to learn about the stigma surrounding men's mental health and be inspired by the speakers' courage in seeking support.
In swahili
Jun 04, 202340:17
“Breaking the stigma: Men’s mental health matters.”

“Breaking the stigma: Men’s mental health matters.”

In this podcast, we dive deep into the topic of men's mental health. We explore the societal and cultural factors that contribute to men feeling ashamed or embarrassed to talk about their struggles with mental health. Our guests share their personal experiences with depression, anxiety, and other mental health issues, and offer practical advice for men who are struggling to cope. Whether you're a man or a woman, this podcast is for anyone who wants to understand and support the importance of mental health in men's lives. Let's break the stigma and start the conversation about men's mental health.
May 28, 202338:53
WHY SINGLE MOTHER ( FINAL PART )

WHY SINGLE MOTHER ( FINAL PART )

rejection is a bad thing for anyone to experience it we face rejection at church,home,working areas but with all outside rejection we want to ensure that a safe a good place to rest is to God
May 21, 202323:54
WHY SINGLE MOTHER ( PT2 )

WHY SINGLE MOTHER ( PT2 )

In the latest episode of the podcast, the focus is on single mothers and their healing journey. The host talks about the importance of acceptance and how it is a vital part of the healing process for single mothers.

The episode discusses the challenges that single mothers face and how they can work towards healing and moving forward. The host shares tips and strategies for managing the emotions that come with being a single mother and how to prioritize self-care.

The episode also talks about co-parenting, and the importance of creating a way forward when it comes to co-parenting with the father of the child. The host shares advice on how to communicate effectively with the other parent, how to set boundaries and how to navigate different parenting styles.

Overall, the episode provides a positive and empowering message to single mothers, reminding them of their strength and resilience while also offering practical advice and guidance on how to move forward in a healthy and positive way.
May 15, 202337:43
WHY SINGLE MOTHER

WHY SINGLE MOTHER

Single Mother?
It has been a common thing in our society where did we go wrong? Who is to be blamed? On this series we will focus on single motherhood before Marriage!
This series is to know where we went wrong, where we are to heal and rectify and how to move on in greatness. It will also shade a light to those who aren’t single mothers to walk right with their lives🙏🏿
May 07, 202319:54
FAITH WITHOUT DOUBT

FAITH WITHOUT DOUBT

As a christian one of the basic ingridient in your christianity life is to have faith without doubting God. you should always trust God is whatever you do in life never doubt God in any circumstance at all always trust that he will do God is able mathayo 21:21-22
Apr 30, 202333:59
SOUL TIES( The 4 R )

SOUL TIES( The 4 R )

The four R (Repeant,Renounce,Remove and Restoration) on how to break demonic/bad soul ties. With the episode we pray you find the courage to enter into prayer so as to break the demonic/soul ties in ourlives with the help of the holyspirit. our God (Jehova) is in the business to restore our souls.
Apr 23, 202331:04
SOUL TIES

SOUL TIES

Soul ties a widely discussed topic by this generation today, we are looking for answers as well and on this episode we begin our insight of what it means without falling outside our faith as Christians. Do give us your feedback as we seek to learn and understand this concept.
Apr 16, 202320:27
HOW TO WALK IN PURITY

HOW TO WALK IN PURITY

How to walk in Purity
2Timothy 2:22
“Flee the evil desires of youth and pursue righteousness, faith, love and peace, along with those who call on the Lord out of a pure heart.”
We shall walk with this verse Highlighting 3 points This episode covers 1 of the three that is “pursuing purity/pursuing God” I hope it encourages you to make a step and Pursue Christ so as he can heal you🤍.
Apr 11, 202326:49
PASAKA EDITION

PASAKA EDITION

what is easter to a christian IS A COMMEMORATION OF Jesus Christ from the dead.
We show respect in the sacrifice Jesus did for the world

Resurrection is the center doctrine of Christian faith.
Apr 07, 202309:37
HOW TO WALK IN PURITY

HOW TO WALK IN PURITY

How to walk in Purity
How to walk in Purity
2Timothy 2:22
“Flee the evil desires of youth and pursue righteousness, faith, love and peace, along with those who call on the Lord out of a pure heart.”
We shall walk with this verse Highlighting 3 points This episode covers 1 of the three that is “pursuing purity/pursuing God” I hope it encourages you to make a step and Pursue Christ so as he can heal you🤍.
Apr 02, 202310:52
REDEFINING SEX IN CHURCH

REDEFINING SEX IN CHURCH

REDEFINING SEX IN CHURCH
The ultimate goal for God to us abstaining from sexual relationships before marriage is for us to pursue holiness. He is not after your Virginity that is why sexual sin can be forgiven if one Repents. He requires us to be Holy. This episode will shade a light to where we are going “Redifining Sex in Church”
Mar 27, 202314:25
WHAT’S A RELATIONSHIP WITHOUT SEX

WHAT’S A RELATIONSHIP WITHOUT SEX

What is a relationship without sex.
Tumejazwa mengi na dunia Kizazi chetu kinaangamia. Ni saa sasa ya kuruhusu Maskio yetu kupokea iliyo kweli ili kwa hiyo kweli tuwe huru katika maisha yetu. Kijana hii ikakutie moyo kusimama sawa sawa na ukishikilie kile ulicho nacho kwa ajili ya utukufu wa Mung. Kwa uliye anguka na kuona hufai Yesu anakupenda hakuna ulilofanya au utawahi fanya litabadilisha upendo wake kwako hivyo hujachelea kuanza na Yeye tena kwa upya. It’s going to be a series keep on listening 🙌🏾
Mar 19, 202319:05
Working For God and Walking with God/ Kufanya kazi ya Mungu na Kufanya Kazi na Mungu

Working For God and Walking with God/ Kufanya kazi ya Mungu na Kufanya Kazi na Mungu

Mara nyingi katika maisha yetu ya ukristo tunafanya kazi ya Mungu ni kweli lakini si mara zote tunatembea na Mungu. Mtu yeyote anaweza fanya kazi ya Mungu lakini si rahisi kukuta wote wanatembea na Mungu. Kuna kitu kikubwa cha kujifunza au kukumbushana Ili tuenende sawa sawa katika safari hii ya wokovu. Mungu awabariki
Mar 12, 202311:29
KEYS TO A GOD GLORIFYING RELATIONSHIP PART 2

KEYS TO A GOD GLORIFYING RELATIONSHIP PART 2

Mahusiano ni moja ya changamoto kubwa sana kwa kijana/binti wa kikristo Tusipojue yatupasayo kufanya katika kipindi hicho ndipo wengi anguko letu lilipo. Tunajaribu kujadiri ni vitu gani kijana wa kikristo anaweza kuvitazamia anapo mtafuta mwenza wake wa maisha.
Mar 05, 202316:13
KEYS TO A GOD GLORIFYING RELATIONSHIP

KEYS TO A GOD GLORIFYING RELATIONSHIP

Mahusiano ni moja ya changamoto kubwa sana kwa kijana/binti wa kikristo Tusipojue yatupasayo kufanya katika kipindi hicho ndipo wengi anguko letu lilipo. Tunajaribu kujadiri ni vitu gani kijana wa kikristo anaweza kuvitazamia anapo mtafuta mwenza wake wa maisha.
Feb 26, 202318:13
YOUR TIME IS COMING/ UNAFANYA NINI UNAPO SUBIRI UFIKE

YOUR TIME IS COMING/ UNAFANYA NINI UNAPO SUBIRI UFIKE

kuna mambo mengi sana huwa tunaomba kwa Mungu na huwa tunatarajia kujibiwa kabisa sasa unapo subiri Mungu Akujibu unatakiwa kufanya nini sasa karibu sana episode hii ya 4 itakupa muelekeo wa kile unachotakiwa kufanya… we have lisa ackim again karibu ujifunze
Feb 14, 202316:59
DONT EVER LOOSE THESE TWO/ IF YOU LOOSE ITS A DONE DEAL

DONT EVER LOOSE THESE TWO/ IF YOU LOOSE ITS A DONE DEAL

Kwenye maisha vipo vitu vingi sana tukipoteza tunapambana kweli kweli kuvirudisha na kimsingi muda mwingine havina hata umuhimu leo nakupa vitu hivi viwili toka zaburi ya 51:11 pambana sana visipotee maishani mwako
Feb 03, 202306:03
HOW TO KNOW YOU HAVE REACHED A PLACE OF HEALING

HOW TO KNOW YOU HAVE REACHED A PLACE OF HEALING

Wengi Tumewaweka sana mbele watu walio wahi kutuumiza, Tukiweka jitihada nyingi kufanikiwa ili kuwaonyesha kua walikosea sana kutuumiza,kutusaliti au kutotuamini. Mara nyingi watu waliokukosea wengine hawakumbuki, Wengine walishasahau na kuna ambao hawajali. Hivyo kujikuta tunapoteza Muda sana Kuwafanya vioo vya maisha yetu! Karibu kumsikiliza Lisaruth Boaz Ackim akishare nasi madini ya kutosha!
Jan 28, 202314:32
WHEN I SAY I LOVE YOU

WHEN I SAY I LOVE YOU

wengi tumekuwa hatuishi katika msingi ule wa upendo mtu anaposema anakupenda huwa unazingatia mambo gani 1wakorintho13:4-9 Inakupa muelekeo wa msingi wa upendo
Jan 18, 202304:55
Kuwa Na marafiki wengi ni kujiangamiza wewe mwenywe

Kuwa Na marafiki wengi ni kujiangamiza wewe mwenywe

Wengi Katika Maisha Yetu Tumekuwa na watu wengi ambao tunawaita marafiki na ukiangalia vizuri hao hao ndo wamekuwa chanzo cha kuanguka kwetu sasa sikiliza kwa umakini haya na upate kuelewa
Oct 18, 202206:35
KEEP MOVING/ KEEP YOUR HEAD UP

KEEP MOVING/ KEEP YOUR HEAD UP

haijalishi unafanya au hufanyi watu wataongea tu so wewe cha msingi endelea kufanya mpaka mambo yakae sawa katika mstari ulionyooka
Aug 09, 202204:52
IF GOD SAYS NO…..

IF GOD SAYS NO…..

Sio kila wakati Tutapata majibu sawa sawa na tulivyo omba kuna nyakati kwenye maisha jibu litakuja hapana utafanya nini mpendwa be ready for all for a YES,NO or WAIT
Jul 29, 202205:29
ABRAHAM DID WRONG SO DID DAVID / SO DID SOLOMON/ YOU ARE WORTHY

ABRAHAM DID WRONG SO DID DAVID / SO DID SOLOMON/ YOU ARE WORTHY

Inawezekana Tunajiona ni wenye dhambi sana Maisha mwetu Lakini machoni Pa Mungu Ni mtu wa muhimu sanaa
Jul 15, 202205:53
SIJUI NI MIMI TU 😂

SIJUI NI MIMI TU 😂

Wote huwa tuna ile sin moja tu huwa ina tu hold sana back from been close to God sijui ni mimi tu ila i think kuna namna kila mtu ana hako ka sin
Jun 28, 202202:53
BONGO GOSPEL/ FLOW GATHERING🔥🔥/TOP 5 BONGO GOSPEL

BONGO GOSPEL/ FLOW GATHERING🔥🔥/TOP 5 BONGO GOSPEL

Concerts movement kweye muziki wa gospel zinazidi kwenda mbele hongera kwa Dr ipyana the flow gathering. Top 5 ya Bongo gospel 5.joel lwaga 4. walter chilambo 3. christina shusho 2.Good luck gozbert 1. essence of worship
Jun 20, 202216:27
MEDITATION IS A KEY TO PRAYERS

MEDITATION IS A KEY TO PRAYERS

wengi wetu tunamuomba Mungu sana tena sana swali ni je tunasikiliza?? do we meditate indeed if yes the defenitly utamsikia tu Mungu if not aanza leo kufanya tafakari baada ya maombi itakusaidia sanaa…. ubarikiwe
Jun 15, 202204:18
Kuna nyakati unapata wito wa kumtumikia Mungu.. ktk huduma unapitia magumu dont give up

Kuna nyakati unapata wito wa kumtumikia Mungu.. ktk huduma unapitia magumu dont give up

watumishi wengi wa mungu katika huduma zao wanapitia mambo mengi sana katika huduma zao kwa nyakati tofauti ndipo mtumishi mfinanga aliposema serving outside but bleeding inside hata kwenye maisha ya kawaida najua kuna mengi magumu unapitia but keep serving God dont stop
May 18, 202204:42
BLOOD SISTERS🥺/IMPACT IN DECISION MAKING/BEFORE MAKING THINK🤔

BLOOD SISTERS🥺/IMPACT IN DECISION MAKING/BEFORE MAKING THINK🤔

kuna muda kwenye maisha tunafanya maamuzi ambayo baadae unaweza jutia au yakakuletea faida vilele, cha msingi kabla ya kufanya maamuzi juu ya jambo lolote iwe ndoa, uchumba, biashara, marafiki. chukua muda kushirikisha watu au makao makuu yako ya ubongo
May 18, 202204:14
Common mistakes in relationships that people do always make

Common mistakes in relationships that people do always make

kuna vitu huwezi kwepa kwenye mahusiano utafanya tu so you chill and enjoy the show
May 10, 202218:08
manager wa hamisi bss azungumza mengi

manager wa hamisi bss azungumza mengi

kazi za ma manager na wasanii wao katika kupambania ugali/ ma manager waliopo sio supportive
Mar 16, 202208:27
ROSA PARK/ MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

ROSA PARK/ MAMA SAMIA SULUHU HASSAN

maajabu na ujasiri wa mwanamke rosa park siku ya leo ya wanawake duniani tuna kumbuka ujasiri wake katika kupambania haki za watu weusi marekani
Mar 08, 202206:33
vijana na biashara

vijana na biashara

ABO 7 store anatupa madini yakutosha juu ya biashara
Feb 19, 202208:36
2022 NI WEWE

2022 NI WEWE

wasiokuamini inawezakana wapo wengi lakini mwaka huu ni time ya kuwa wewe jiamini fanya kwa uwezo wake
Feb 12, 202202:41
2022 GET RICH OR DIE TRYING

2022 GET RICH OR DIE TRYING

Dont give up, trust nobody advice anybody
Feb 03, 202202:40
life topics, music, movies, spiritual being

life topics, music, movies, spiritual being

rdm the podcast is back
Feb 03, 202201:49