Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi podcast hii inakuhusu. Pius Justus alihangaika zaidi ya miaka 2 kufanya mauzo kwenye mtandao wa Facebook hadi alipokuja kugundua Formula fulani. Baada ya Kutumia formula hiyo alifanikiwa kufanya mauzo ya Tshs. Milioni 7 Ndani ya Miezi 4. Kujifunza formula hiyo basi podcast hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kutimiza yako basi kuna jambo moja kubwa la msingi hujafahamu. Katika sehemu hii utapata kujifunza hilo jambo na jinsi ya kuweza kutimiza malengo yako
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja kiurahisi kwenye mtandao wa Facebook na Instagram kupitia matangazo yako basi ukizangatia yafuatayo utaona mafanikio makubwa mno.
Kama upo katika biashara ya kuuza bidhaa (commodity) na unahangaika kufanya hivyo kwenye mtandao basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha namna ya kufanya hivyo.
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote.
Kama wewe unakutana na changamoto ya kutotimiza malengo yako kila mwaka bila ya kujua sababu ni nini basi sehemu ya leo itakuongoza kwa kiasi kikubwa kuweza kutimiza malengo mwaka huu.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kuuza bidhaa/huduma kiurahisi kwenye mtandao wa Internet, basi utapenda podcast hii ya leo. Ukianza kutumia hatua hizi 12 katika uuzaji wako, si kuwa utapata wateja kiurahisi tu bali wateja hao watakushukuru kwa kuwauzia bidhaa/huduma hizo. Podcast hii imejaa madini adimu ambayo itabadilisha njia ulizozoea kutumia awali katika kuuza bidhaa/huduma zako kwa kiasi kikubwa.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye nia ya kupata mafanikio makubwa mwaka 2019 basi podcast hii ni kwa ajili yako. Ndani ya podcast hii nimezungumzia formula tuliyotumia mwaka 2018 kupata mafanikio makubwa katika biashara yetu kuliko miaka yote iliyopita. Uzuri wa formula hizi ni kuwa kila mmoja anaweza kuzifuata na kuona mafanikio.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kufanya mauzo kiurahisi kwenye app ya WhatsApp basi baada ya kusikiliza sehemu hii ya podcast utaanza kuona mabadiliko makubwa katika biashara yako.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara kupitia mtandao basi kuna mengi utajifunza katika podcast hii. Haya ni mahojiano niliyofanya na DFM Radio katika kipindi cha D Business.
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kwenye biashara yako kutokana na ushindani mkubwa katika soko basi katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia Blue Ocean Strategy kuuwa ushindani na kunasa wateja
Kama umekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi interview hii itakupa mwanga jinsi mwanafunzi wangu Tatu Omari alivyoweza kutumia mtandao huo kukuza kipato chake kutoka Tshs. 300,000 hadi Tshs. 6,250,000.
Kama una hamu ya kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wenye kuingizia kipato endelevu kila siku basi sehemu hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa kufanya hivyo.
Kuna formula ya rahisi lakini yenye nguvu ya Ku kuifanyia mauzo mengi WhatsApp kuliko formula yoyote ile. Na Masoud alivyoanza Kutumia formula hii amefanikiwa kufanya mauzo ya Milioni 3 Ndani ya Mwezi 1.
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara yako na hujui ufanye nini, basi sehemu hii utagundua SIRI ya wajasariamali wenye kunasa wateja.