Avatar

28: Sifa 3 Za Tovuti Zenye Kunasa Wateja

An episode of Mjasiriamali Wa Mtandao

Avatar
By Said Said
Karibu katika Podcast ya Mjasiriamali wa Mtandao, sehemu ambapo utajifunza jinsi Ya kutumia mtandao wa internet kujenga na kukuza biashara yako
More places to listen

More places to listen

55: Jambo Hili Linakuzuia Kupata Mafanikio | Saturday Rant
Kama unahangaika kuona mafanikio katika biashara yako au maisha kiujumla basi kuna uwezekano mkubwa unafanya hili...
21:33
October 19, 2019
54: Nguvu ya 'Risk Reversal' Katika Kuuza Bidhaa/Huduma
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo hususan kwa wateja wapya, basi formula ya 'Risk Reversal' itakusaidia kwa kiasi kikubwa sana...
16:29
October 15, 2019
53: Kwanini Hutakiwi Kupuuza Elimu ya Msingi ya Mafanikio | Saturday Rant
Kama wewe ni mjasiriamali uliyefatilia mafunzo mbali mbali ya Mafanikio bila ya kuona mafanikio basi kuna uwezekano mkubwa kuwa unapuuza elimu ya msingi. Katika sehemu hii tutazungumzia elimu hiyo ni ipi na jinsi ya kunufaika nayo.
15:27
October 12, 2019
52: Jinsi ya Kuongeza Thamani ya Biashara Yako
Kama unataka biashara yako ipendwe na soko lako basi huna budi isipokuwa kuhakikisha thamani yake inaongezeka kila siku. Katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kufanya hivyo...
17:57
October 8, 2019
51: Jinsi Ya Kukuza Kipato Chako Haraka Kupitia Mtandao wa Internet
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kukuza kipato chako kwa haraka kupitia mtandao wa internet basi sehemu hii ni kwa ajili yako...
15:47
September 24, 2019
50: Mambo 4 ya Kuzingatia Kutengeneza Smaku Yenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara mwenye hamu ya kunasa wateja kupitia mtandao wa internet basi huna budi isipokuwa kutumia sumaku. Na sumaku nzuri ni ile yenye sifa 4.
22:02
September 17, 2019
49: Kwanini Huna Nidhamu | Makavu LIVE
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kuona mafanikio basi kuna uwezekano mkubwa huna nidhamu. Katika sehemu hii utajifunza umuhimu wa nidhamu na jinsi ya kuwa nayo kuhakikisha unapata mafanikio.
21:04
September 14, 2019
48: The Law of Pre-eminence | Makavu LIVE
Kama wewe ni mjasiriamali na unataka kupata mafanikio kupita kiasi basi 'The Law of Pre-eminence' inakuhusu...
15:13
August 31, 2019
47: Jinsi Aisha Alivyoji Brand na Kuingiza Kipato Milioni 18 Ndani ya Miezi 4
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo kwenye mtandao hususan whatsapp basi sehemu hii ya podcast ni kwa ajili yako... 😱
33:52
August 27, 2019
46: Kwanini Unapenda Kuridhisha Watu Wengine? | Saturday Rant
Kama wewe ni mjasiriamali lakini unaona aibu kuonekana unafanya nini huko nje basi inawezekana kuwa na maradhi haya huko nje . . .
22:41
August 17, 2019
45: Umuhimu wa Emotional Intelligence Katika Mafanikio Yako
Kama unaona kuwa unahangaika kupata mafanikio katika biashara yako au maisha yako kiujumla basi kuna uwezekano mkubwa emotional intelligence yako ipo chini. Sikiliza kujifunza zaidi
18:08
August 13, 2019
44: Uoga Unakumaliza | Saturday Rant
Je unashindwa kusonga mbele kwa sababu ya uoga? Basi sehemu ya leo itakuonyesha suluhisho
20:14
August 10, 2019
43: Umuhimu wa Branding Katika Kujenga Biashara ya Uhakika
Kama wewe ni mfanyabiashara unayetaka kujenga biashara ya uhakika basi huna budi isipokuwa kujenga brand. Sikiliza zaidi kufahamu namna ya kufanya hivyo.
23:55
August 6, 2019
42: Acha Uvivu | Makavu Live
Je wewe ni mvivu wa kuchukua hatua? Sikiliza hii
20:44
August 3, 2019
41: Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuandika matangazo yenye kuzalisha matunda basi sehemu ya leo ya podcast itakuonyesha formula ya uhakika ya kufanya hivyo
15:30
July 30, 2019
40: Una Haraka ya Nini? | Saturday Rant
Je unataka kutengeneza pesa haraka? Unataka biashara itakayokupa bingo? Sikiliza hii...
16:56
July 27, 2019
39: Muongo Mkubwa | Saturday Rant
Uongo ni moja ya jambo la msingi unaoua mafanikio yako. Sikiliza zaidi kufahamu kwanini
19:18
July 20, 2019
38: Jinsi ya Kuanzisha Biashara Bila ya Kuwa na Mtaji
Je wewe unataka kuwa mjasiriamali lakini huna mtaji wa kuanzisha biashara? Basi podcast hii itakuongoza...
24:47
July 16, 2019
37: Umuhimu wa Kufeli Katika Maisha Yako | Saturday Rant
Je umefeli katika jambo fulani hivi karibuni? Safi sana. Mafanikio yanakaribia kama utafanya yafuatayo...
14:50
July 13, 2019
36: Kwanini Huna Raha na Unahangaika| Saturday Rant
Kama huna raha na unahangaika kuona mafanikio katika maisha basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha kwanini.
18:45
July 6, 2019
35: Kwanini Motivation ni Kitu Kibaya
Kama wewe ni mtu unayetegemea motivation kuchukua hatua basi usitegemee kuona mafanikio. Sikiliza kufahamu kwanini
20:14
July 6, 2019
34: Umuhimu wa Mahesabu Katika Mafanikio ya Biashara Yako
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali na unaona biashara yako haikuwi vizuri basi kuna uwezekano mkubwa Mahesabu yako hayapo vizuri. katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia mahesabu kuchagua biashara yenye kulipa, kukuza biashara yako pamoja na kufanikisha matangazo yako.
23:44
June 11, 2019
33: Kwanini Unachelewa Kuona Mafanikio | Makavu LIVE!
Kama unafanya biashara na biashara yako imegonga mwamba na hujui ufanye nini kusonga mbele basi Makavu live ya leo ni kwa ajili yako...
16:55
May 11, 2019
31: Mambo 3 Yanayokuzuia Wewe Kutimiza Malengo Yako | Saturday Rant
Kama umejikuta kuwa unahangaika mno kufikia malengo yako hata ukifanya kitu gani basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya Saturday Rant ya leo tunazungumzia mambo 3 Yanayokuzuia Kufikia Malengo yako. Bila ya kutatua mambo hayo matatu basi utapendelea kuhangaika kila siku.
18:37
April 20, 2019
30: Jinsi Ya Kujenga Nidhamu ya Kupata Mafanikio Kiurahisi
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa hujajenga nidhamu ya kupata mafanikio. Ndani ya sehemu hii utajifunza kwanini kumiliki nidhamu itakusababishia wewe kupata mafanikio haraka kuliko njia nyengine yoyote.
24:11
April 16, 2019
29: Kwanini Upo Busy Sana na Huoni Mafanikio
Je wewe ni aina ya mtu uliyokuwa busy bila ya kuona matunda ya ubize wako? Hii Podcast inakuhusu
30:42
April 6, 2019
28: Sifa 3 Za Tovuti Zenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye nia ya kumiliki tovuti yenye kunasa wateja basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...
35:59
April 2, 2019
27: Kwanini Kipato Chako Hakikuwi | Saturday Rant
Kama kipato chako kimefikia sehemu na hakikuwi basi una tatizo hili la kisaikolojia...
28:29
March 30, 2019
26: 80/20 Rule
Kama wewe ni mtu unayejikuta unafanya kazi kama punda bila ya kuona matunda basi formula ya 80/20 Rule itakusaidia kwa kiasi kikubwa. Formula hii ndio formula matajiri wakubwa wa natumia kufanya kazi ndogo kuweza kuingiza kipato kikubwa. Kuelewa hii formula pamoja na bonus chukua kalamu na karatasi na hakikisha unasikiliza Podcast hii hadi mwisho.
34:23
March 26, 2019
25: Kwanini Biashara Yako Hailipi | Saturday Rant
Kama unafanya biashara lakini kila unavyojikaza unaona biashara haizongi mbele basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha exactly tatizo ni nini. Kuna kipimo kiitwacho VRIN Score unayotakiwa kunitumia kufahamu kama biashara yako inalipa au hailipi. Ndani ya sehemu hii utafahamu VRIN Score ya biashara yako ni ngapi na utafahamu aidha uendelee kufanya au utafute biashara nyengine.
22:25
March 23, 2019
24: Jambo la Msingi la Kufanya Kufikia Malengo Yako
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi sehemu hii ya podcast inakuhusu. Ndani ya podcast hii utajifunza kwanini formula kama ya kupambana unayopewa na ma motivational speakers haifanyi kazi na njia sahihi za kufuata kuona matokeo ya uhajika. Njia hizi zinaendana na tafiti mpya za kisaikolojia ya tabia (behavioral psychology).
23:36
March 19, 2019
23: Saikolojia ya Pesa | Saturday Rant
Kama unajikuta unahangaika kwa kiasi kikubwa kupata pesa basi kuna uwezekano mkubwa unasumbuliwa na saikolojia ya pesa. Ndani ya sehemu hii utajifunza saikolojia 7 kuhusu pesa zitakazo kukwamua katika janga la Umasikini. Trust me. This will change your life!
30:57
March 9, 2019
22: Mambo 3 ya Msingi ya Kuzingatia Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao wa Internet
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako kupitia mtandao wa internet basi sehemu ya podcast hii inakuhusu. Ndani ya sehemu hii tunazungumzia mambo 3 ya msingi ya kuzingatia kuweza kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa Internet.
27:01
March 5, 2019
21: Falsafa ya Uhakika ya Kupata Mafanikio | Saturday Rant
Kama unahangaika sana kuona mafanikio basi falsafa ya "Detachment" itakusaidia kwa kiasi kikubwa.
21:39
February 23, 2019
20: Jinsi Pius Justus Alivyotumia Mtandao wa Facebook Kuingiza Kipato Cha Milioni 7 Ndani ya Miezi 4
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi podcast hii inakuhusu. Pius Justus alihangaika zaidi ya miaka 2 kufanya mauzo kwenye mtandao wa Facebook hadi alipokuja kugundua Formula fulani. Baada ya Kutumia formula hiyo alifanikiwa kufanya mauzo ya Tshs. Milioni 7 Ndani ya Miezi 4. Kujifunza formula hiyo basi podcast hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa.
1:01:18
February 19, 2019
19: Sababu Kubwa Kwanini Unahangaika Kutimiza Malengo Yako
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kutimiza yako basi kuna jambo moja kubwa la msingi hujafahamu. Katika sehemu hii utapata kujifunza hilo jambo na jinsi ya kuweza kutimiza malengo yako
22:01
February 12, 2019
18: Mambo 4 ya Kuzingatia Kabla ya Kufanya Matangazo Katika Mtandao wa Facebook na Instagram
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja kiurahisi kwenye mtandao wa Facebook na Instagram kupitia matangazo yako basi ukizangatia yafuatayo utaona mafanikio makubwa mno.
22:39
February 5, 2019
17: Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Internet Kuuza Bidhaa Kiurahisi
Kama upo katika biashara ya kuuza bidhaa (commodity) na unahangaika kufanya hivyo kwenye mtandao basi sehemu hii ya podcast itakuonyesha namna ya kufanya hivyo.
20:04
January 29, 2019
16: Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote.
25:49
January 22, 2019
15: Mambo 4 ya Kuzingatia Kuhakikisha Unatimiza Malengo Yako Mwaka Huu
Kama wewe unakutana na changamoto ya kutotimiza malengo yako kila mwaka bila ya kujua sababu ni nini basi sehemu ya leo itakuongoza kwa kiasi kikubwa kuweza kutimiza malengo mwaka huu.
20:24
January 7, 2019
14: Hatua 12 za Kufuata Kuweza Kuuza Kiurahisi Kwenye Mtandao wa Internet
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kuuza bidhaa/huduma kiurahisi kwenye mtandao wa Internet, basi utapenda podcast hii ya leo. Ukianza kutumia hatua hizi 12 katika uuzaji wako, si kuwa utapata wateja kiurahisi tu bali wateja hao watakushukuru kwa kuwauzia bidhaa/huduma hizo. Podcast hii imejaa madini adimu ambayo itabadilisha njia ulizozoea kutumia awali katika kuuza bidhaa/huduma zako kwa kiasi kikubwa.
55:40
January 3, 2019
13: Jinsi ya Kupata Mafanikio Kwenye Biashara yako Kupitia mtandao wa internet mwaka 2019
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye nia ya kupata mafanikio makubwa mwaka 2019 basi podcast hii ni kwa ajili yako. Ndani ya podcast hii nimezungumzia formula tuliyotumia mwaka 2018 kupata mafanikio makubwa katika biashara yetu kuliko miaka yote iliyopita. Uzuri wa formula hizi ni kuwa kila mmoja anaweza kuzifuata na kuona mafanikio.
58:40
January 2, 2019
12: Jinsi Ya Kufanya Mauzo Kiurahisi Katika App ya WhatsApp
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kufanya mauzo kiurahisi kwenye app ya WhatsApp basi baada ya kusikiliza sehemu hii ya podcast utaanza kuona mabadiliko makubwa katika biashara yako.
15:35
December 12, 2018
11: Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Internet Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara kupitia mtandao basi kuna mengi utajifunza katika podcast hii. Haya ni mahojiano niliyofanya na DFM Radio katika kipindi cha D Business.
35:20
November 28, 2018
10: Blue Ocean Strategy
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kwenye biashara yako kutokana na ushindani mkubwa katika soko basi katika sehemu hii utajifunza jinsi ya kutumia Blue Ocean Strategy kuuwa ushindani na kunasa wateja
26:17
November 14, 2018
9: Jambo 1 Wanafunzi Wangu Wote Wenye Mafanikio Wanafanya
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kupata wateja kiurahisi kwenye mtandao basi ukifanya hivi utaona mabadiliko makubwa katika biashara yako.
18:24
November 7, 2018
8: Jinsi Tatu Omari Alivyokuza Kipato Chake Kutoka Laki 3 Hadi Milioni 6 Kupitia Facebook
Kama umekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook basi interview hii itakupa mwanga jinsi mwanafunzi wangu Tatu Omari alivyoweza kutumia mtandao huo kukuza kipato chake kutoka Tshs. 300,000 hadi Tshs. 6,250,000.
1:03:16
October 31, 2018
7: Hatua 6 za Kufuata Kujenga Biashara ya Uhakika Kwenye Mtandao
Kama una hamu ya kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wenye kuingizia kipato endelevu kila siku basi sehemu hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa kufanya hivyo.
54:58
October 24, 2018
6: Jinsi Masoud Alivyotengeneza Faida ya Millioni 3 Ndani ya Mwezi 1 Kupitia Mtandao wa WhatsApp
Kuna formula ya rahisi lakini yenye nguvu ya Ku kuifanyia mauzo mengi WhatsApp kuliko formula yoyote ile. Na Masoud alivyoanza Kutumia formula hii amefanikiwa kufanya mauzo ya Milioni 3 Ndani ya Mwezi 1.
55:40
October 9, 2018
5: Aina ya Mjasiriamali Mwenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali mwenye kuhangaika kunasa wateja Kiurahisi kwenye biashara yako na hujui ufanye nini, basi sehemu hii utagundua SIRI ya wajasariamali wenye kunasa wateja.
07:00
September 21, 2018
4: Jinsi Ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao wa Internet
Kama wewe ni Network Marketer na unahangaika Kupata wateja kupitia mtandao wa internet basi somo la leo linakuhusu
32:09
September 8, 2018
3: Jinsi Ya Kutumia Mitandao ya Kijamii Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika Kupata wateja kupitia mitandao ya kijamii basi ukifanya yafuatayo utafaidika mno.
16:44
September 6, 2018
2: Jinsi Ya Kupata Wateja Wengi Kwenye Mtandao Kwa Hatua 3
Jinsi Ya Kupata Wateja Wengi Kwenye Mtandao Kwa Hatua 3
24:38
August 28, 2018
Make your own podcast for free with Anchor!