Skip to main content
Mjasiriamali Wa Mtandao

Mjasiriamali Wa Mtandao

By Said Said

Karibu katika Podcast ya Mjasiriamali wa Mtandao, sehemu ambapo utajifunza jinsi Ya kutumia mtandao wa internet kujenga na kukuza biashara yako
Available on
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

41: Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Mjasiriamali Wa Mtandao Jul 30, 2019

00:00
15:31
106: Wasi Wasi Unakulostisha | Makavu Live

106: Wasi Wasi Unakulostisha | Makavu Live

Unaishi maisha ya wasi wasi? Sikiliza hii...
Feb 20, 202109:42
105: Huna Subra | Makavu Live

105: Huna Subra | Makavu Live

Je unataka kuona matokeo mapema? Kuwa na Subra.
Nov 28, 202014:06
104: Nguzo 3 za Biashara

104: Nguzo 3 za Biashara

Ukifahamu Nguzo hizi tatu utaweza Kufanya Biashara kwa urahisi mno
Nov 17, 202010:07
103: Badilika! Wewe Sio Mti | Saturday Rant

103: Badilika! Wewe Sio Mti | Saturday Rant

Wajasiriamali wenye ku win kwenye soko ni wenye kuweza kubadilika kutokana na mazingira waliyonayo. Wewe Sio Mti. Badilika!
Nov 14, 202008:44
102: Jinsi ya Kutumia 'Alter Ego' Kufanya Vitu Unavyoogopa Kufanya

102: Jinsi ya Kutumia 'Alter Ego' Kufanya Vitu Unavyoogopa Kufanya

Je unajua unatakiwa kufanya kitu gani exactly lakini unajikuta hufanyi? Basi 'Alter Ego' inakuhusu...
Jul 28, 202020:23
101: Unashindwa Ku Manage Stress | Makavu LIVE

101: Unashindwa Ku Manage Stress | Makavu LIVE

Unasumbuliwa na stress? Sikiliza hii...
Jun 27, 202011:56
100: Jinsi ya Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Mara 5 Hadi 10 Haraka

100: Jinsi ya Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Mara 5 Hadi 10 Haraka

Unataka kukuza kipato chako haraka? Fanya hivi...
Jun 23, 202008:04
99: Jinsi ya "Kuvunja Shingo ya Chupa" Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Haraka

99: Jinsi ya "Kuvunja Shingo ya Chupa" Kukuza Kipato Cha Biashara Yako Haraka

Unahangaika kukuza kipato cha biashara yako? Vunja shingo ya Chupa...
Jun 09, 202013:13
98: Unatumia Lugha ya Kimaskini | Makavu LIVE

98: Unatumia Lugha ya Kimaskini | Makavu LIVE

Kama hujui kwanin hupati mafanikio katika biashara yako basi kuna uwezekano mkubwa unatumia lugha ya kimaskini. Sikiliza zaidi kufahamu jinsi ya kuondokana na hili tatizo.
Jun 06, 202010:45
97: Jinsi ya Kujenga Biashara Yenye Kuingiza Faida ya Milioni kwa Mwezi

97: Jinsi ya Kujenga Biashara Yenye Kuingiza Faida ya Milioni kwa Mwezi

Kama wewe una mpango wa kuanzisha biashara yenye kukuingizia milioni kwa mwezi au ni mjasiriamali unayehangaika kuingiza milioni au zaidi kila mwezi basi sehemu ya leo ni kwa ajili yako.
Jun 02, 202038:32
96: Kwanini Wateja Wako Hawanunui Bidhaa / Huduma Unayotoa

96: Kwanini Wateja Wako Hawanunui Bidhaa / Huduma Unayotoa

Kama wewe ni mjasiriamali na wateja wako hawakuelewi unapowaambia kuhusu bidhaa/huduma unayotoa basi sehemu ya leo ya podcast inakuhusu...
May 26, 202016:17
95: Jenga Urafiki na Nafsi Yako | Makavu LIVE

95: Jenga Urafiki na Nafsi Yako | Makavu LIVE

Kama umekuwa ukisumbuliwa kwa kiasi kikubwa kutochukua hatua au Uvivu basi sehemu hii ya podcast inakuhusu
May 23, 202030:53
94: Misingi 3 ya Biashara Yenye Mafanikio

94: Misingi 3 ya Biashara Yenye Mafanikio

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga biashara ya uhakika basi kuna uwezekano mkubwa hufahamu Misingi 3 ya biashara yenye mafanikio makubwa.
May 19, 202023:32
93: Acha Kusingizia Corona | Makavu LIVE!

93: Acha Kusingizia Corona | Makavu LIVE!

Acha Kuzingizia Corona. Chapa kazi!
May 02, 202017:59
92: Jinsi ya Ku Win Katika Janga Hili la Corona

92: Jinsi ya Ku Win Katika Janga Hili la Corona

Je biashara yako inayumba katika kipindi hiki cha Corona? Fanya hivi...
Apr 28, 202025:15
91: Acha Ubaghili | Makavu LIVE

91: Acha Ubaghili | Makavu LIVE

Kama unaona unafanya kila kitu katika biashara yako vizuri bila ya mafanikio, basi kuna uwezekano mkubwa una tatizo la ubaghili.
Apr 25, 202018:22
90: Jinsi ya Kusakwa na Wateja Katika Biashara ya Kutoa Huduma

90: Jinsi ya Kusakwa na Wateja Katika Biashara ya Kutoa Huduma

Je wewe upo katika biashara ya kutoa huduma (service business) lakini hupati wateja? Kama jibu ni ndio basi sehemu hii ya podcast ni kwa ajili yako...
Apr 21, 202021:35
89: Jinsi Zacharia Alivyotumia Mtandao Kukuza Kipato Chake Kutoka Laki 3 Hadi Milioni 15 Kwa Mwezi

89: Jinsi Zacharia Alivyotumia Mtandao Kukuza Kipato Chake Kutoka Laki 3 Hadi Milioni 15 Kwa Mwezi

Baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu kufanya mauzo kwenye mtandao, Zacharia akahudhuria moja ya Instagram Live niliyofanya na Pius na kujinyakulia kozi zetu moja baada ya nyengine huku kipato chake kikikuwa.
Apr 14, 202001:03:27
88: Unaendekeza Uoga | Makavu LIVE!

88: Unaendekeza Uoga | Makavu LIVE!

Je unaogopa kuchukua hatua kufanya mambo ya msingi yenye mafanikio? Sikiliza hii...
Apr 11, 202016:06
87 - Jinsi ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao - Part 2

87 - Jinsi ya Kujenga Biashara ya Network Marketing Kwenye Mtandao - Part 2

Kama wewe ni networker mwenye kuhangaika kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet basi sehemu hii ya podcast inakuhusu...
Apr 07, 202033:42
86: Acha Kuwa Mhanga Wa Mazingira | Makavu LIVE!

86: Acha Kuwa Mhanga Wa Mazingira | Makavu LIVE!

Kama kuyumba kwa uchumi au jambo lolote katika mazingira yako yanasababisha kuyumba kwa biashara yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ni mhanga wa mazingira.
Apr 04, 202014:21
85: The Art of Public Speaking | Part 1

85: The Art of Public Speaking | Part 1

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuongea mbele ya umati wa watu basi sehemu ya podcast ya leo itabadilisha maisha yako. Katika sehemu hii nimemualika mzungumzaji mashuhuri hapa Tanzania Coach James kumwaga madini ya namna ya kubobea katika hii profession. Hakikisha una kalamu na karatasi na enjoy darasa la leo.
Mar 31, 202001:03:55
84: Huna Mfumo wa Kuangalia Maendeleo Yako | Makavu LIVE

84: Huna Mfumo wa Kuangalia Maendeleo Yako | Makavu LIVE

Je wewe ni mjasiriamali mwenye malengo lakini unajikuta hutimizi malengo yako? Kama jibu ni ndio basi inawezekana unasumbuliwa na tatizo hili.
Mar 30, 202016:13
83: Jinsi ya Kumiliki Brand Yenye Kuwindwa na Wateja

83: Jinsi ya Kumiliki Brand Yenye Kuwindwa na Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja basi kuna uwezekano mkubwa kuwa unatafuta wateja badala ya kunasa.
Mar 24, 202021:39
82: Usitafute Mafanikio, Nasa Mafanikio | Saturday Rant

82: Usitafute Mafanikio, Nasa Mafanikio | Saturday Rant

Kama unahangaika kupata mafanikio basi Kuna uwezekano mkubwa kuwa unatafuta hayo mafanikio badala ya kunasa.
Mar 24, 202018:34
81: Jinsi ya Kupata Ushindi Kila Mara

81: Jinsi ya Kupata Ushindi Kila Mara

Je wewe ni mjasiriamali unayetamani kupata ushindi mara kwa mara? Basi fanya hivi...
Mar 17, 202013:53
80: Dr. Said Acha Uvivu | Makavu LIVE

80: Dr. Said Acha Uvivu | Makavu LIVE

Dr. Said amka. Acha Uvivu!
Mar 14, 202008:51
79: Sifa 8 za Tovuti Zenye Kunasa Wateja

79: Sifa 8 za Tovuti Zenye Kunasa Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali mwenye mpango wa kumiliki tovuti yenye kunasa wateja basi unatakiwa kufahamu sifa 8 hizi...
Mar 10, 202024:39
78: Jinsi ya Kujenga Brand Yenye Kunasa Wateja

78: Jinsi ya Kujenga Brand Yenye Kunasa Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kujenga uaminifu kwenye soko lako basi Kuna uwezekano mkubwa hujajenga brand yenye kuaminika. Ndani ya sehemu hii nimemfanyia interview mtaalamu wa mambo ya branding Mr. Charles Nduku ku share na sisi jinsi ya kujenga brand yenye kunasa wateja.
Mar 03, 202058:54
77: Unasita Kuchukua Hatua | Makavu LIVE!

77: Unasita Kuchukua Hatua | Makavu LIVE!

Kama umejikuta unahangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa kuwa unasita kuchukua hatua. Ukifanya hivi utapata matokeo mazuri...
Feb 29, 202015:06
76: Hatua 4 za Kujenga Nidhamu ya Mafanikio

76: Hatua 4 za Kujenga Nidhamu ya Mafanikio

Kama wewe ni mtu mwenye kuhangaika kupata mafanikio basi kuna uwezekano mkubwa hujajenga mazoea ya watu wenye mafanikio.
Feb 25, 202019:45
75: Unakata Tamaa Mapema | Saturday Rant

75: Unakata Tamaa Mapema | Saturday Rant

Moja ya sababu kubwa huoni mafanikio ni kukata tamaa mapema...
Feb 22, 202014:02
74: Bidhaa na Huduma Unazotoa ni Ovyooo Kabisa | Makavu LIVE

74: Bidhaa na Huduma Unazotoa ni Ovyooo Kabisa | Makavu LIVE

Unahangaika kupata wateja wa kudumu? Angalia bidhaa / huduma unayotoa.
Feb 15, 202016:31
73: Aina ya Malengo yenye kukuhakikishia mafanikio

73: Aina ya Malengo yenye kukuhakikishia mafanikio

Unashindwa kutimiza malengo? Fanya hivi...
Feb 11, 202018:18
72: Hisia Hasi Zinakumaliza | Makavu LIVE!

72: Hisia Hasi Zinakumaliza | Makavu LIVE!

Kama umekuwa ukihangaika kuona mafanikio katika biashara yako kwa kipindi kirefu basi kuna uwezekano mkubwa kuwa matatizo ya Kisaikolojia imechangia. Matatizo ambayo yamesababisha hisia hasi ndani ya mwili wako.
Feb 08, 202021:29
71: Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

71: Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali uliyekuwa ukihangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi leo ni sikukukuu yako. Mambo utayojifunza katika sehem hii si kuwa itakusaidia kupata wateja tu Ila itawafanya wateja hao wakubembeleze kununua bidhaa/huduma unayotoa.
Feb 04, 202001:00:48
70: Una Mazoea ya Kimaskini | Makavu LIVE

70: Una Mazoea ya Kimaskini | Makavu LIVE

Kama umekuwa ukihangaika kutimiza malengo yako kwa kipindi kirefu kuna uwezekano mkubwa una mazoea ya kimaskini. Katika sehemu ya leo utagundua hayo ni mazoea gani na namna ya kujenga mazoea ya watu wenye mafanikio.
Feb 01, 202039:44
69: Jinsi ya Kufanya Mauzo Kiurahisi Hata Kama Hujulikani

69: Jinsi ya Kufanya Mauzo Kiurahisi Hata Kama Hujulikani

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo kiurahisi kwenye soko basi formula hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa.
Jan 28, 202023:03
68: Jinsi ya Kuhakikisha Unatimiza Malengo yako PIGA UA!

68: Jinsi ya Kuhakikisha Unatimiza Malengo yako PIGA UA!

Je umechoka kutotimiza malengo yako kila mwaka? Basi ukifuata formula hii ☝️, kufeli kutakuwa kugumu kuliko kufanikiwa.
Jan 21, 202032:06
67: Kwanini Una Tamaa? | Makavu LIVE!

67: Kwanini Una Tamaa? | Makavu LIVE!

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kuona mafanikio katika biashara yako au maisha yako kiujumla basi huenda tamaa ndio chanzo.
Jan 18, 202014:40
66: Mambo 3 ya Kuzingatia Kuhakikisha Matangazo Yako ya Facebook Yanakuletea Wateja

66: Mambo 3 ya Kuzingatia Kuhakikisha Matangazo Yako ya Facebook Yanakuletea Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram basi sehemu ya leo inakuhusu...
Jan 15, 202058:49
65: Hujui Unataka Nini | Saturday Rant

65: Hujui Unataka Nini | Saturday Rant

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kutimiza malengo yako basi kuna uwezekano mkubwa hujui unataka kitu gani.
Jan 04, 202016:30
64: Jinsi ya Kutumia Formula Ya Reverse Engineering Kuhakikisha Unatimiza Malengo Yako

64: Jinsi ya Kutumia Formula Ya Reverse Engineering Kuhakikisha Unatimiza Malengo Yako

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kila mwaka kutimiza malengo yako basi formula hii ya Reverse Engineering itahakikisha unafanya hivyo.
Dec 31, 201959:27
63: Wewe ni Mjinga | Saturday Rant

63: Wewe ni Mjinga | Saturday Rant

Wewe ni mjinga na kila ukilifahamu hili mapema bora kwako. Sikiliza zaidi kufahamu kwanini...
Dec 28, 201922:09
62: Njia Rahisi na ya Haraka ya Kufanya Mauzo Kwenye Mtandao Wa Internet

62: Njia Rahisi na ya Haraka ya Kufanya Mauzo Kwenye Mtandao Wa Internet

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo kwenye mtandao basi njia hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa sana.
Dec 24, 201936:42
61: Mambo 7 ya Kufanya Mwaka 2020 Kwenye Mtandao Wa Internet Ku Win Katika Biashara Yako

61: Mambo 7 ya Kufanya Mwaka 2020 Kwenye Mtandao Wa Internet Ku Win Katika Biashara Yako

Kuna mabadiliko makubwa yatatokea mwaka 2020. Na kama huyafahamu mabadiliko hayo biashara yako itakuwa hatarini. Lakini ukifanya mambo haya 7 utaona mafanikio makubwa kupita maelezo.
Dec 17, 201944:52
60: Jinsi ya Kujenga Uaminifu Katika Soko Lako Kwa Urahisi na Haraka

60: Jinsi ya Kujenga Uaminifu Katika Soko Lako Kwa Urahisi na Haraka

Brian Tracy anasema "Kuna jambo moja la msingi unalotakiwa kufanya kabla ya kuuza bidhaa. Nayo ni kujenga uaminifu." Jambo linalokukosesha wateja kwa kiasi kikubwa kuliko jambo lolote na kutoaminika mbele ya macho ya wateja wako. Katika sehemu ya leo utajifunza namna ya kufanya hivyo.
Dec 10, 201913:24
59: Jinsi ya Kupata Wateja Wengi Kiurahisi Kwenye Biashara Yako Katika Soko Lenye Ushindani

59: Jinsi ya Kupata Wateja Wengi Kiurahisi Kwenye Biashara Yako Katika Soko Lenye Ushindani

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kufanya mauzo kwenye biashara yako kutokana na ushindani basi formula hii itakusaidia kwa kiasi kikubwa...
Dec 03, 201920:03
58: Kwanini Safari ya Mafanikio ni Muhimu Kuliko Mafanikio Yenyewe | Saturday Rant

58: Kwanini Safari ya Mafanikio ni Muhimu Kuliko Mafanikio Yenyewe | Saturday Rant

Kama wewe ni mjasiriamali unayekata tamaa haraka kutokana na kutotimiza malengo yako basi inaonekana umekumbatia sana matokeo badala ya safari ya matokeo. Ndani ya sehemu hii utajifunza umuhimu wa kuenda safari ya Mafanikio kuliko mafanikio yenyewe.
Nov 30, 201913:26
57: Kwanini Una Tatizo Sugu la Kughairisha (Procrastination) | Saturday Rant

57: Kwanini Una Tatizo Sugu la Kughairisha (Procrastination) | Saturday Rant

Kama wewe una hamu ya Kupambana lakini unajikuta huchukui hatua basi unasumbuliwa na tatizo Sugu sugu la kughairisha.

Sikiliza sehemu ya podcast ya leo kufahamu kwanini unalo hilo tatizo na jinsi ya kutatua...
Nov 09, 201923:39