Skip to main content
Shakilah's Tales

Shakilah's Tales

By Shakilah Ochara

This Podcast would be about cultural perceptions,traditions and looking back at how we used to do things. Lets explore together.
Available on
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Kumbuka nyumbani....

Shakilah's TalesAug 28, 2023

00:00
17:39
Kumbuka nyumbani....

Kumbuka nyumbani....

Kipindi hiki kinaangazia umuhimu wa kukumbuka nyumbani hasa wazazi wetu.Tusisahau wale ambao walitukuza na kutuelekeza.Skiza ili upate bayana ya mambo na usisahau kutoa maoni.

#Shakilah'sTales
Aug 28, 202317:39
Hali ya elimu baada ya karo ya vyuo vikuu kuongezwa.

Hali ya elimu baada ya karo ya vyuo vikuu kuongezwa.

Kipindi hiki kinazungumzia jinsi kuongezwa kwa karo ya vyuo vikuu itakuwa tatizo kwa wazazi kulingana na gharama ya maisha kwa sasa.
Aug 21, 202319:17
Let's talk Books.

Let's talk Books.

Listen in to this incredible episode about the books I have been reading lately.

#Shakilah'sTales
Jul 30, 202310:01
Maisha Baada ya Uchaguzi.

Maisha Baada ya Uchaguzi.

Kipindi hiki kinaghusia maisha baada ya uchaguzi mwaka 2022 Agosti.Je,maisha yamekuwa magumu zaidi ama mambo yako sawa? Je, Serikali ambayo iko usukani imetimiza ahadi kwa wananchi ama hapana? Sikiliza ili upate bayana ya mambo usikose kuwacha mawazo yako kuhusu mada hii.
Jul 02, 202307:47
Success & Fulfilment.

Success & Fulfilment.

What if what we are chasing so hard won't be fulfilling in the long run?What if? Listen in to get the gist of it... #ShakilahsTales
Jan 31, 202315:45
Mwaka wa 2022 ukifika ukingoni,ni nini umejifunza?Je ulitimiza maazimio yako?

Mwaka wa 2022 ukifika ukingoni,ni nini umejifunza?Je ulitimiza maazimio yako?

Mwaka wa 2022,umekuwa mwaka wa kipekee.Tunapotia kikomo,je mafunzo ambayo umepata yamekusaidia?Mwaka huu umekuaje kwako kwa mukhtasari?Safiri nami katika kipindi hiki upate kujua kile ambacho nilikichukua mwaka huu. 🤗 #ShakilahsTales
Dec 08, 202211:42
Between Thoughts 3

Between Thoughts 3

Falsafa ya maisha na uongozi wa sasa.
Nov 16, 202209:27
Bidhaa za GMO

Bidhaa za GMO

Je,ni jambo la busara kuidhinisha vyakula vya GMO ama kuwekeza fedha katika miradi ya vyakula vya kiasili ili kukimu baa la njaa? Sikia upate bayana ya mambo. #Shakilah'sTales
Oct 17, 202210:17
#BetweenThoughts

#BetweenThoughts

Hujambo!Kipindi hiki kinaghusia hali zote tunazopitia.Ni mawazo ambayo yamenijia na nikaona ni vyema tusemezane. Usisahau kunifuata katika mtandao wa Spotify. #Shakilah'sTales
Oct 11, 202209:23
MIKOSI YA MATOKEO YA URAIS

MIKOSI YA MATOKEO YA URAIS

Kipindi hiki kinaghusia matokeo ya Urais baada ya Uchaguzi.Hisia tofauti imezuka baada ya Makamishna wanne kupinga matokeo hayo eti hayakuwa wazi. Swali ni je, haki ilitimizwa? Skiza upate bayana ya mambo na usisahau kutoa maoni yako na kusubscribe kwa mtandao wa Spotify.
Aug 21, 202208:34
Safari ya kutafuta.

Safari ya kutafuta.

Usichoke kutafuta.#Monday Motivation #Shakilah'sTales
Jul 25, 202202:46
Baada ya dhiki huja faraja.

Baada ya dhiki huja faraja.

Kipindi hiki kinaghusia mchakato wa ufanisi.Mara nyingi tunapenda kuangazia ufanisi pasi na njia ya kufanikiwa huko. Njia hii si rahisi lakini ukiwa na nidhamu hatimaye utafika.Kipindi hiki si hadithi tu ni hali halisi ya maisha. Sikia upate bayana ya mambo. Usikose kunifuata Spotify na mtandao wa IG @Shakilahochara
Jun 24, 202208:53
Umuhimu wa vijana kuanza kuwekeza.

Umuhimu wa vijana kuanza kuwekeza.

Mara nyingi kama vijana tuna kasumba potovu eti wale wanaostahiki kuwekeza pesa ama rasilimali ni wazee.Huu ni uongo mtupu!Vijana wanapaswa kuanza kuwekeza mapema ili wakati wanastaafu,wana akiba ya kutosha.Ni changamoto sisi sote kujifunza kuwekeza ili uzeeni uishi maisha marefu.Yakini,chelewa chelewa utapata mwana si wako.
Apr 19, 202206:23
Je ni sawa Mheshimiwa Raila Odinga kuamuru Alvin Chivondo kuachiliwa?

Je ni sawa Mheshimiwa Raila Odinga kuamuru Alvin Chivondo kuachiliwa?

Alvin Chivondo alishtakiwa kwa wizi wa mafuta ya kupika na sukari Naivas Moi Avenue. Kujua mengi zaidi skiza kipindi hiki na usisahau kutoa maoni yako.
Apr 13, 202213:06
Mwanamke ni mtu......

Mwanamke ni mtu......

#EndBias #WomensDay

#ShakilahsTales

Mar 08, 202211:34
WHY WE LISTEN TO SONGS AND WATCH MOVIES ON REPEAT

WHY WE LISTEN TO SONGS AND WATCH MOVIES ON REPEAT

Many thanks to Derek Thompson the writer of the great article of "Why people watch shows and movies over and over" published by the Atlantic.

Unaposkiza kipindi hiki tafadhali usisahau kusubscribe pale spotify na kutoa maoni yako kuhusu mjadala huu.

#ShakilahsTales

#MwamkoMpya

Feb 18, 202229:59
MAISHA NA MIKOSI YAKE.

MAISHA NA MIKOSI YAKE.

Kipindi hiki kinaangazia kisa cha aliyekuwa mtangazaji wa Switch TV Ouma Robert, baada ya kupoteza kazi na kile ambacho anafanya kwa sasa. Isitoshe, kimeangazia pia kisa cha Bi.Mandi na Gitobu. Skiza ili upate uhondo zaidi. Usisahau kusubscribe na kupitisha ujumbe upande ule mwingine.

#ShakilahsTales

#ShakilahOchara

Jan 21, 202208:36
Watoto na Urithi.....

Watoto na Urithi.....

Happy New year fam! Listen in to the podcast you missed. Blessed 2022!!

#ShakilahsTales

Jan 12, 202211:05
Uhusiano na wababa* si suluhisho ya shida zako;wosia kwa dada zangu.

Uhusiano na wababa* si suluhisho ya shida zako;wosia kwa dada zangu.

Kipindi hiki kinalenga kina dada hasa wa chuo kikuu na wale ambao kidogo wanatafuta riziki. Si vibaya kukosa, ni vibaya kuwa na tamaa. Tamaa mara nyingi hutuingiza taabani elewa msimu ambao upo, huenda haujafika lakini ipo siku itajipa. 

Skiza, toa maoni yako kwa njia ya arafa na usisahau kusubscribe.

#ShakilahsTales

Nov 16, 202111:29
Kila mtu ana changamoto hivo basi tusidunishane. #Safari

Kila mtu ana changamoto hivo basi tusidunishane. #Safari

Kisa hiki,ni kisa cha wahusika tano ambao wanafasiri hali tofauti ya maisha. Ni vema kufahamu kuwa kama binadamu hatutoshani kile ambacho kinanisumbua huenda kwako si shida tuwe watu wa utu. Usinihukumu kwa kile ambacho kimenilemeza kwa sababu,  huenda kinachokutatiza, dawa yake ninayo. Usisahau kusubscribe kwenye spotify na kupitisha ujumbe upande ule mwingine.

#ShakilahsTales

#MwamkoMpya

Oct 28, 202116:28
THE RACE IS DIFFERENT

THE RACE IS DIFFERENT

Natumai kikosi kizima mko salama. Ni dhahiri kuwa kila siku tunathirika na misukumo ya maisha na wakati mwingine inaweza tuathiri tukapotea njia ama kujishuku kuwa maisha yako hayaendi sawa. Kumbuka maisha haya kila mmoja ana kitabu chake cha kuandika hivo basi usijipime na maisha ya mwenzio kwa sababu nyie wote ni watu wawili tofauti, wanaotoka mahali tofauti kabisa. Skiza kipindi hiki kupata bayana ya mambo,usisahau kupitisha ujumbe upande ule mwingine na kusubscribe. # ni ShakilahsTales.

Oct 08, 202110:47
#ITS THE LITTLE THINGS

#ITS THE LITTLE THINGS

It is the little things that make a difference, that move us closer to our dreams. Being Monday listen in to #MondayMotivation episode from ShakilahsTales and go and be better. Remember it is the little things.


#TheLittleThings

#ShakilahsTales

Sep 27, 202101:54
The 3rd Episode of the Journey

The 3rd Episode of the Journey

Hi guys listen up to my 3rd Episode of the Journey. Make sure u listen to part one and two to follow and Don't forget to share subscribe and hellooo say your story I would be happy to host you.


#ShakilahsTales

#TheJourney

Sep 24, 202106:57
The 2nd Part of the Journey.

The 2nd Part of the Journey.

Hi people, listen in to the 2nd part of my journey. In this journey of life we encounter a lot that either teach, harden us or put us down. Listen in to find out more dont forget to subscribe.

#ShakilahsTales

Sep 09, 202108:23
The price that comes with being part of the Romans.....

The price that comes with being part of the Romans.....

They say when you go to Rome do what Romans do. I did not know that sometimes actually doing what the Romans do is not that easy as the adage goes. Here is my story, the experience and price that you have to pay when you closing a business deal they say...... Listen in to this amazing story and subscribe to my podcast to get more life experiences.


#ShakilahsTales

Aug 23, 202109:29
Is it love or are we just entangled?

Is it love or are we just entangled?

Do we get in a relationship for love or what the person brings on the table or are we just entangled? Let us find out in this episode.. Dont forget to drop in ur comments and share. 

#ShakilahsTales

Aug 09, 202111:09
The Ugly side of adulting.

The Ugly side of adulting.

Hi guys, it has been a while! Here is a more personal story about me. the shift to responsibilities and how I switched to that life hehehe. We all go through stages and as a people it is important to be in the moment, learn and enjoy the privileges that come with every stage of life. Tap the link and listen to #MYJourney.

Subscribe!

Subscribe!

Subscribe on Spotify.

Jul 30, 202118:52
Janga lililosahaulika.

Janga lililosahaulika.

According to 2020 report by National Aids Control Council (Monday Report) more than 40 people between the ages of 15-24 years are infected with HIV/AIDS everyday. I did this episode after getting views from some of my listeners on the cause of the spread and how we can curb this long forgotten pandemic. Listen in,drop a comment,subscribe on spotify n support this podcast. Thanks.


#TheLongForgottenPandemic

#ShakilahsTales

Jun 29, 202124:10
Facebook love relationships troubles.

Facebook love relationships troubles.

Most people who meet up on Facebook for the first time end up lost or found dead. This  was stated by one of Shakilah's Tales follower; who suggested that we should talk about it so that girls wont be easily lured by strangers online to meet them physically and later on get lost in thin air. Let's be cautious the #Shakilah'sTales . What are your thoughts about the same?

Jun 11, 202109:44
Disconnect between parenting and responsibility

Disconnect between parenting and responsibility

Kipindi hiki kinagusia nafasi iliyoko kati ya wazazi wa kisasa na wana wao. Matukio mengi yametukia kwa sababu kama wazazi tumesahau majukumu yetu kama wazazi na kuegemea upande moja tu ambayo ni kutafuta riziki. Sikatai! Kutafuta riziki yao haina shida, shida inatokea tu, wakati ambapo sisi wazazi hatutengi wakati kuwakuza na kuwajua watoto wetu fika. Visa vingi vimetukia kama watoto wa umri mdogo kujitoa uhai,mimba ya umri mdogo,kutojitambua fika kwa sababu hawajui watawaelezea nani na kila wakati wazazi wanatafuta. Kipindi hiki kinaegemea kuwakumbusheni wazazi majukumu yao. #Shakilahstales. 

May 31, 202115:45
Are Boys raised to be men?

Are Boys raised to be men?

This episode is based on a talk by my male friends; whether they were actually taught to be men or the society presumed their duties as men.It is a heated topic listen in and share your views. What do you think do we prepare our boys to be men or we expect them to man up without taking them through the process.....

#AreBoysRaisedToBeMen

#ShakilahsTales

May 25, 202113:06
Je, utakulia kivulini na uamuzi unaofanya sasa ama juani?

Je, utakulia kivulini na uamuzi unaofanya sasa ama juani?

Uamuzi tunaofanya leo utatuathiri pakubwa katika maisha ya usoni. Kila unapofanya uamuzi kumbuka unatengeneza njia ya hapo mbeleni. Kipindi hiki kianelezea zaidi kuhusu maamuzi, uvumilivu na mwishowe mavuno. Sikiza kwa makini.

#ShakilahsTales

#Mafanikio

#Uvumilivu

May 10, 202110:08
Mama amekufanyia nini?

Mama amekufanyia nini?

We all go through bullying at some point and if not for our parents especially our mothers we couldn't fight the demons inflicted on us. This episode is based on my experience during my school years maybe you out there trying to fix yourself Don't!  Just know you are beautiful the way you are. I want to thank all mothers out there for raising our self esteem especially my mama who made me understand that I am okay and beautiful being tall. Listen in for more and drop a comment what ur mother did or impacted that u stood the test of time.

#MothersDay

#ShakilahsTales

May 09, 202108:22
Effects of Climate change in Kenya

Effects of Climate change in Kenya

Effects of climate change in Kenya

May 03, 202101:15
Maisha, Changamoto na Kufanikiwa........

Maisha, Changamoto na Kufanikiwa........

Hello listeners, life has it's ups and downs but we are the authors of our lives as you write that book ask yourself, would you be in a position to narrate about it or you wouldn't. Here is the episode full of unanswered questions, aspirations and hope. Listen in.

#ShakilahTales

Apr 12, 202119:32
JIREH IS ENOUGH

JIREH IS ENOUGH

This episode is inspired by the song Jireh sang by Maverick city featuring Chandler Moore.As we start this week let us keep in mind that Jireh will always provide that maybe we going through challenging times that we cant explain but He is still God. Let us keep our hope in Christ and trust his word. Amen!

#MaverickCity

#Jireh

#ShakilahOchara

Apr 05, 202103:43
Tujifunze Kiswahili awamu ya pili

Tujifunze Kiswahili awamu ya pili

Mko salama? Kipindi hiki kinaendeleza Tujifunze Kiswahili awamu ya kwanza ambayo nilifanya wiki iliyopita. #Tuendelee kujuzana.

This episode is a continuation of Tujifunze Kiswahili part one let us learn and explore. 

#ShakilahOchara

#MwamkoMpya

#ShakilahAkinyi

Mar 30, 202117:49
Tujifunze Kiswahili

Tujifunze Kiswahili

Ni matumaini yangu kuwa nyote mko salama. Kipindi hiki nazungumzia maneno ambayo ni nadra kutumia katika mawasiliano na ningependa wote tujifunze na tuanze kutumia maneno hayo katika mazungumzo. Ahsante.

#ShakilahOchara

#ShakilahAkinyi

#MwamkoMpya


Mar 22, 202106:46
"Give me a chance" A cry for help....

"Give me a chance" A cry for help....

This episode speaks about youth unemployment and the challenges they underwent in search of a job.

Comment on the record icon and follow Shakilah's Tales on Facebook page and engage.

#YouthUnemployment

Mar 15, 202109:11
Women's Day

Women's Day

Happy International women's Day to all women in the World continue being phenomenal. Hey guys, listen in to yet another wonderful episode. Spread the love to all women by letting them listen to this amazing episode.

#InternationalWomensDay

#ShakilahsTales

#MwamkoMpya.

Mar 08, 202102:12
What if Steve Harvey had given up?

What if Steve Harvey had given up?

We all go through challenges but it is up to you to make a difference with your life. You either choose to bow to peoples' opinion of you or brace up and be more. Listen in to this amazing episode don't forget to record your views on the same.

@SteveHarvey

#ShakilahOchara

#Mwamko Mpya

#ShakilahAkinyi

Feb 20, 202103:24
When we were kids.......

When we were kids.......

let's flashback on how we used to do things and what we were told. Has everything actualized? Lets find out on this episode on Shakilah's Tales.

What are your thoughts? Don't forget to record a message on what you would wish to listen in the next episode.

Feb 12, 202117:41
Hali tofauti katika magari mjini Nairobi

Hali tofauti katika magari mjini Nairobi

This episode speaks length about how different environments affects people. Listen in and do record your thoughts.

#ShakilahOchara

#MwamkoMpya

#NyarHomabay

Feb 05, 202102:13
Tuchunguze maadili yetu.

Tuchunguze maadili yetu.

Hi guys its your girl Shakilah Ochara with another deeper topic. What are your thoughts about the same? Lets talk.

#Shakilah'sTales

#MwamkoMpya

#NyarHomabay.

Jan 29, 202111:54
Amanda Gorman's poem

Amanda Gorman's poem

Our 2nd episode speaks length about Amanda Gorman's poem.The past,the future and the current. I have done it in Swahili listen in,leave a message and tap the favorite button. Thank you as we take this discussion to the next level.

Jan 22, 202102:11
Shakilah's Tales Intro

Shakilah's Tales Intro

Hi, everyone this is an intro of what ill be doing. It will be an interactive session,

Jan 14, 202101:26