Skip to main content
Sheria Poa Podcast

Sheria Poa Podcast

By Privaty Rugambwa

Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.
Available on
Apple Podcasts Logo
Google Podcasts Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Sheria Poa PodcastJun 09, 2021

00:00
31:10
Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii. Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii na changamoto zilizopo, kwenye sura hii ya kwanza na mapungufu yaliyopo kwenye sura hii na mapendekezo yao juu ya sura hii. Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862 Subscribe kwenye chaneli yetu: https://www.youtube.com/@UCtr2I2XphLapB71XkxxrU4A

Apr 25, 202322:32
Muundo wa Serikali na Madaraka ya Rais Kwenye Katiba Ya Tanzania ya Mwaka 1977 | SheriaPoa
Apr 25, 202322:45
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 (Sura ya Kwanza) - Mwendelezo

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 (Sura ya Kwanza) - Mwendelezo

Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii. Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii na changamoto zilizopo, kwenye sura hii ya kwanza na mapungufu yaliyopo kwenye sura hii na mapendekezo yao juu ya sura hii. Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862 Subscribe kwenye chaneli yetu: https://www.youtube.com/@UCtr2I2XphLapB71XkxxrU4A Sikiliza Podcast yetu kupitia: Apple Podcast link: https://apple.co/3ZwLmSA Spotify: http://bit.ly/40v0UYd Google Podcast Link: http://bit.ly/3zm0irZ Audiomack Link: https://audiomack.com/sheriapoa Youtube Link: https://www.youtube.com/@sheriapoa#SheriaPoa #SheriaPoaPodcast #katiba #katibampya #sheria #sheriazaTanzania #tanzania #podcast #podcasts #podcastshow #podcasttanzania

Apr 25, 202340:56
Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977
Apr 25, 202322:32
Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

Katika kipindi cha leo, tupo na Mwenyekiti na Muanzilishi wa Jukwaa la Katiba Tanzania Mwl. Deus Kibamba akitupitisha katika historia ya Katiba Ya Mwaka 1977, kutoka kupata uhuru wa Tanganyika mpaka leo.


Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862


Subscribe kwenye chaneli yetu: ⁠https://www.youtube.com/@sheriapoa⁠


Sikiliza Podcast yetu kupitia:

Apple Podcast link: https://apple.co/3ZwLmSA

Spotify: http://bit.ly/40v0UYd

Google Podcast Link: http://bit.ly/3zm0irZ

Audiomack Link: https://audiomack.com/sheriapoa

Youtube Link: https://www.youtube.com/@sheriapoa

Apr 01, 202322:32
Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
Mar 31, 202322:32
The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)
Aug 25, 202138:25
Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)
Aug 11, 202121:43
Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) - Tanzania
Aug 11, 202128:08
Masuala ya Ardhi katika Mirathi

Masuala ya Ardhi katika Mirathi

katika kipindi hiki, tuko pamoja na wakili Victor Mwakimi akiendelea kuzungumzia kwa kina Masuala ya ardhi katika mirathi. Karibu ujumuike nasi.

Jul 07, 202150:02
Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi
Jun 23, 202144:47
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania
Jun 09, 202131:10
Land as a source of investment through Mortgages
May 12, 202135:49
Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One

Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One

Today we are discussing the Dos & Donts on Acquisition of Land In Tanzania, Acquisition of Land in Tanzania is a verse subject and one of the most challenging transactions as it requires individuals or organisations to visit various government offices to make sure this transaction goes smooth, it does-not matter whether you have acquired a general or village land, but the process of getting one is cumbersome.

Our Guest in today's episode is Advocate Mr. Victor Mwakimi, is the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group,  has nearly 10yrs of experience in legal practice having specialised in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Mr. Mwakimi gained his experience and passion for Litigation as well as the drafting of legal instruments while working for Trustworth Attorneys and later Gabriel & Co, Attorneys at Law, where he was in charge of the preparation and perfection of all forms of securities as Head of the Firm's Banking and Finance Practice. Mr. Mwakimi is a well rounded Corporate Attorney who is admired by his clients and colleagues alike for his dedication to service delivery and passion for research.  During the course of his career,  Mr. Mwakimi has handled the full range of securities on behalf of most of the major banking and financial institutions in Tanzania at all levels of complexity.

In this episode he will be discussing with us, on how can someone acquire land and what mistakes people make and what should someone avoid during this land acquisition process. 

Hosted By Emmanuel Gashi Bakilana and Privaty Rugambwa;

To go further about;

Victor Lyson Mwakimi;

https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125

https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz

Privaty Rugambwa;

https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/

https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/

Emmanuel Bakilana;

https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123

Apr 28, 202134:06
Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health; With Nadia Ahmed
Apr 14, 202132:00
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available, Part 2
Apr 07, 202133:14
Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1

Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1

International Women's Day is celebrated in many countries around the world. It is a day when women are recognized for their achievements without regard to divisions, whether national, ethnic, linguistic, cultural, economic or political. Source; https://www.un.org/en/observances/womens-day/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848.

Since those early years, International Women's Day has assumed a new global dimension for women in developed and developing countries alike. The growing international women's movement, which has been strengthened by four global United Nations women's conferences, has helped make the commemoration a rallying point to build support for women's rights and participation in the political and economic arenas.

Our guests today are Josephine Kingi, Annalise Rwebangira and Deodatus Tesha, Josephine Kingi is a Human Resource Manager at The Export Import Bank of Korea (EDCF), Annalise Rwebangira is an Economist, Policy analyst and gender equality advocate whereas Mr. Deodatus Tesha is an advocate of the High Court and Subordinate Courts thereto save for Primary, specialising in Social Security schemes. 

Today we are discussing challenges and opportunities available for women in the legal practice.

Hosted by; Emmanuel Gashi Bakilana & Privaty Rugambwa;

To go further about;

Privaty Rugambwa;

https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/

https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/

Emmanuel Bakilana;

https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123

Deodatus Tesha;

https://www.linkedin.com/in/deodatus-tesha-8a6570b6/?originalSubdomain=tz

For More information about International Women’s Day; 

https://www.un.org/en/observances/womens-day/background#:~:text=The%20first%20National%20Woman's%20Day,was%20much%20earlier%20%2D%20in%201848.

https://www.thoughtco.com/international-womens-day-3529400

Also of interest

https://www.internationalwomensday.com/about

https://www.bbc.com/news/world-56169219

Mar 31, 202147:46
Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.

Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.

Kiswahili ni Lugha ya Taifa na Matumizi ya Kiswahili yanazidi kukua kadri siku zinavyozidi kwenda, pamoja na kukua kwa lugha hii, Kiswahili kimekuwa hakitumiki katika mfumo mzima wa utoaji haki, kwa maana ya kwamba sheria zote za nchi yetu bado zipo kwa lugha ya Kiingereza na hata Mahakama zetu kuanzia ngazi ya Mahakama ya wilaya mpaka Mahakama ya rufani, lugha inayotumika ni Kiingereza. Kitu ambacho kimekuwa ni changamoto kwenye shughuli mbali mbali za utoaji haki.

Lugha ya Kiswahili nchini imekuwa ikitumika kwenye mabaraza yote na Mahakama zote za Mwanzo tangu mwaka 1985 kwenye kuendesha mashauri na kutunza kumbukumbu zote, lakini kwenye mahakama za wilaya mpaka mahakama ya rufani, lugha ya kiswahili imekuwa ikutumika kuendesha mashauri laikini kumbukumbu zote za mahakama zimekuwa zikiandikwa kwa Kiingereza.

Serikali kupitia Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, wamepetisha mswada wa mabadiliko ya sheria (Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill of 2021 (Muswada), kupendekeza sheria zote za Tanzania Bara kuwa kwa Lugha ya Kiswahili; Hivyo basi katika kipindi hiki tunajadili kiundani ni nini dhumuni kuu la Serikali katika kuleta mapendekezo haya na ni nini zitakuwa changamoto za mabadiliko hayo, kama wanasheria na maafisa wa mahakama ni nini kingine cha ziada kinaweza kufanyika katika kuhakikisha lugha hii yetu adhimu inakuwa na kuendelea kutumika.


Mar 24, 202132:34