Skip to main content
99.9 GHETTO FM

99.9 GHETTO FM

By GHETTO FM
An amplified voice for the voiceless
Where to listen
Google Podcasts Logo

Google Podcasts

Pocket Casts Logo

Pocket Casts

RadioPublic Logo

RadioPublic

Spotify Logo

Spotify

DHULMA YA KIJINSIA KWENYE KAMPENI
Kina mama wengi wanapitia dhulma za kijinsia haswa wakati huu wa kampeni unafikiri ni mbinu gani tunaweza tumia ili kupunguza swala hili.
09:38
June 04, 2022
NAIROBI COUNTY TRANSPARENCY SURVEY, WHY DID WE SCORE 56 POINTS ?
Nairobi county has improved in terms county budget transparency, , Its among the top 9 counties that did better.But the question remains what do you think should be done?
54:06
May 30, 2022
BAJETI YA KILIO YA 2022-2023
Bajeti isiyo yakawaida 
09:42
April 08, 2022
SHEREHE YA KILIO KWA AKINA MAMA
Licha ya taifa kusherekea siku kuu ya akina mama duniani  wengi wao wanaendelea kupaza sauti za kutafuta haki zao.
07:35
March 09, 2022
WANAWAKE TUONDOE DHANA KUWA MWANAMKE NI ADUI WA MWANAMKE MWENZAKE NA TUUNGANE MIKONO KATIKA UONGOZI.
Swala la mwanamke ni adui wa mwanamke mwenzie limekuwa likijadiliwa vijijini na wengi wanadokeza kuwa wanawake wengi hawana uroho wa kuungana mikono katika uongozi aidha wengi wanapuuzilia mbali dhana hii na kutoa kauli ya kuungana mikono kama wanawake.Kwenye makala haya nimeangazia maoni tofauti ya uongozi wa wanawake.
22:06
March 02, 2022
FOLLOW THE MONEY LAUNCH PHASE 2
Follow the money project in kenya headed by Head of projects SIDAREC CENTER Eve Mathai   has done  so much on identifying and following the covid 19 funds that were released  by the govt, this was during the first phase. This time CTAP  headed by  Executive Director  Hamzat Lawal has launched the second phase of follow the money, this time with the aim of doing research on the issue of covid 19 vaccination and the whole state of Health in Kenya and in Africa at  large. 
10:43
February 26, 2022
CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WANAOHUDUMU MAKANISANI
Wanawake wanapitia changamoto sii haba wanapoendelea kueneza huduma wao makanisani.
06:24
February 16, 2022
CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WA KIKE KATIKA HUDUMA KANISANI.
Wanawake wanaendelea kupitia changamoto nyingi wanapoendelea kueneza neno la Mungu makanisani.
06:24
February 16, 2022
WORLD RADIO DAY [CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAHABARI WA KIKE ]
Hii leo Kenya imejumuika na mataifa mengine kusherekea siku kuu ya Radio nchini. Mada kuu ikiwa  uwaminifu kwa wanahabari wa  stasheni za kijamii,aidha taifa linaposherekea siku hii wanahabari wanaendelea kupitia changamoto sii haba.Karibu tuzijadili pamoja na tutafute suluhisho pamoja.
10:04
February 12, 2022
TUKOMESHE UKEKETAJI KWA WASICHANA WETU
MILA ZA UKEKETAJI ZIMEWEZA KUWAATHIRI WASICHANA WENGI HUMU NCHINI NA HATA KUSABABISHA UNYANYAPAA MIONGONI MWAO.KAMA TAIFA NI WAJIBU WA KILA MMOJA KUSAHAU MILA ZA KITAMBO ZISIZO NA MISINGI YOYOTE.
04:19
February 09, 2022
UAVYAJI MIMBA BAINA YA WASICHANA WACHANGA
Swala la uavyaji mimba linaendelea kukithiri mitaa zetu za mabanda kiini kikuu kikiwa mimba zisizotarajiwa.Unafikiri nini huchangia swala hili?
06:53
February 02, 2022
HOW CAN WE DO AWAY WITH GENDER BASED VIOLENCE ON YOUNG GIRLS AND CHILDREN
As Kenya gets into 16 days of activism  lets all join hands to stop Gender Based Violence to children and young girls and help needy families get justice.
01:28:36
December 02, 2021
STOP KILLING OUR WOMEN
As we enter into 16 days of activism against GBV lets join hands together to do awareness against the  killing women.Remember they are our mothers, sisters, lovers, wives and even our aunts,lets find a better way of finding solutions whenever there is a disagreement in a marriage or a relationship killing each other especially a man killing a woman is not the solution.  
01:08:38
November 17, 2021
CHAMUKO LA GHETTO FM MIDA YA SAA 1 USIKU TAREHE 2 MWEZI WA NOVEMBA
Tume ya CRA imetoa ugavi wa raslimali kati ya serikali kuu na magatuzi.Hata hivo serikali za kaunti zimepata mgao wa bilioni 370 za mwaka wa kifedha 2022/2023.Haya yanajiri baada ya magavana na maseneta kutoa malalamishi kuwa kuwa kiasi hicho cha pesa ni kidogo kulingana na mipangilio yao ya kaunti.
14:09
November 02, 2021
WOMEN IN LEADERSHIP
Women can do better when given chance to lead for they have the nature of equal balancing and multitasking.
01:02:10
November 02, 2021
STRESS MANAGEMENT TO SINGLE MOTHERS RAISING DISABLED CHILDREN
The research done by the Action the foundation  organisation partnering with the government shows that most  single mothers raising disabled children are suffering from stress after their husbands deny their responsibility, here we discuss on how such mothers can get help from their situation 
51:57
October 29, 2021
WOMEN IN LEADERSHIP
If women are given chance to lead they can do better for they have a natural way to multitask and treat people equally.Its hightime  for women to stood up and participate in any leadership chance that come a cross in the community.  
08:51
October 27, 2021
HOW TO OVERCOME DEPRESSION AMONG YOUNG PEOPLE
Depression has become  a big problem especially on young people, here we discuss causes and how someone can control depression
07:06
October 21, 2021
VIOLATION OF RIGHTS FOR YOUNG MEN AND WOMEN
The rights of most people have been violated hence many of them does not know how to go about it to find justice, here we discuss some of rights that have been mostly violated
08:46
October 21, 2021
THIS IS NOT THE JOB I WANTED NOT THE ONE I APPLIED FOR
Have you ever find yourself  in  a situation that you have been given ajob that you didnt expect like ,,its not the real work you applied for. 
09:54
October 19, 2021
DO YOU THINK KENYA IS ON THE RIGHT TRACK CONCERNING THE ISSUE OF ACHIEVING VISION 2030
President Uhuru Kenyatta has got the shortest time left in office to finish thw Big 4 agendas that is leading us towards achieving the vision 2030.Do you think we are on the right track.
12:41
October 19, 2021
NAFASI YA MZALIWA WA KWANZA KATIKA JAMII NI IPI
Ni bayana kwamba  wazazi wengi huwalimbikizia wazaliwa wa kwanza majukumu mengi.Hapa tutajifunza nafasi ya watu hawa katika jamii 
09:50
October 19, 2021
URBAN FARMING CAN BE ONE OF THE WAY TO FIND SOLUTION ON SDGs number one Zero hunger
We can fight hunger by practicing urban farming. You dont need  many acres of land for you to practice urban farming.This will make us achieve our right to food without depending on govt  
07:23
October 19, 2021
MEN TOO NEED TO BE EMPOWERED AS WOMEN
For sometimes now women have been  well empowered hence handling issues to them is no longer a problem.This has made a male child to remain behind in most decision making and many other ways to find solutions.They therefor plea with nun governmental organizations to consider empowering them as well.  
12:29
October 19, 2021
WALIOHITIMU WAJIBWAGA KWENYE BIASHARA
Ni nadra kwa muhitimu kupata nafasi ya kazi haraka pindi tu anapojinyakulia stakabadhi zake za chuo kikuu au hata cha kati hivyo basi wengi wa waliohitimu huamua kuingia katika biashara ili kuendelea kukimu mahitaji yao na hata kulipa mikopo waliochukua ili kulipa karo zao.
11:51
October 19, 2021
RIGHT TO FOOD TO WOMEN LIVING WITH DISABILITIES
All Kenyans have the right to food though this has been a big problem to women living with disabilities since covid 19 stricked into our country.These women from Mukuru kwa njenga who are more than 30 are therefore pleading with the government or any other organisation to cheap in and assist them to meet their right of food.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
04:48
September 30, 2021
HAKUNA KAZI YA MWANUME NA YA MWANAMKE KAZI NI KAZI
WANAWAKE KATIKA JAMII WAMEWEZA KUBAGULIWA  KILA KUNAPOTOKEA NA NAFASI ZA AJIRA.MAKALA HAYA YANAANGAZIA WANAWAKE  HODARI AMBAO WANAPUUZILIA MBALI KAULI YA JAMII. 
07:56
September 24, 2021
LOW MILK BREASTFEEDING MOTHERS
Lactating mothers are going through hardship in feeding their young ones due to low milk flow supply hence due to this most mothers do not feed their children on milk only for 6 months as it is supposed to be according to the ministry of health.
08:35
September 24, 2021
MAGONWA MBADALA
Kando na gonwa la korona baadhi ya wakenya wanaendelea kuangaishwa na magonjwa mengine kama maleria ugonjwa wa ukimwi kansa na  mengine mengi
17:09
September 24, 2021
LOW MILK BREASTFEEDING MOTHERS
Lactating mothers go through hardship in producing milk for their young children and this is the main reason as to why most mothers do not feed their children on milk for 6 months as it is supposed to be  according to the ministry  of health.This story highlights foods that mothers can eat to have enough milk flow for their children
00:56
September 24, 2021
YOUTH ENTREPRENEURSHIP AND THE SOCIAL MEDIA
Many youths prefer buying things online unlike for they believe it saves time and even protect them from getting the deadly virus  
06:43
September 24, 2021
DISCUSSION ON GBV VICTIMS AND SAFE HOUSING
The bill by nominated MCA Wanjiru  Kariuki also wants City Hall to set up safe houses in each of the 17 sub counties especially at this stage when Nairobi has recorded a big number of victims of GBV. 
01:28:19
September 24, 2021
MAUMIVU YA LEBA SAA ZA KAFYU KWENYE GIZA KATIKA MTAA WA MUKURU KWA NJENG
Hali imekua ngumu kwa wakaazi wa mukuru kwa njenga haswa kina  mama wajawazito kwa ukosefu wa stima katika eneo hilo na hata katika  zahanati na hospitali  Huku saa za kafyu zikiwa giza  jingine kwa mama hawa wanao tarajia wageni 
16:02
September 04, 2021
MAISHA YA MAMA MCHANGA SHULENI
Mukuru kwa njenga in Nairobi has recorded a large number of teenage pregnancies, However, a good number of girls have not yet reported to school yet due to challenges they are going through when pregnant or even when they have given birth despite the order of the president to all schools allow children back to school including pregnant girls.
10:54
September 03, 2021
DUA LA ASUBUHI
Wengi wa watu huanza siku kwa maombi ikiwa moja wapo ya kuandaa siku njema wanapokuwa katika shuguli zao za hapa na pale japo kuna wale ambao hufanya kwa njia tofauti yote ni mamoja huitwa dua la asubuhi.
07:18
August 28, 2021
SEXUAL HARASSMENT
Sexual harassment is an issue that is affecting many employees in Kenya some have ended up loosing jobs and even suffering from stigma.lets all join hands to end sexual harassment. 
16:01
August 28, 2021
USAFIRI WA MAGARI ZA RELI UNAWEZA PUNGUZA MSONGAMANO WA NAGARI MJINI NAIROBI
Swala la msongamano wa magari mjini Nairobi limeonekana kuwa kero kwa wakaazi wa Nairobi wengi wakinyoshea serikali kidole cha lawama kwa kuchukua muda mwingi kukamilisha  shughuli ya ujenzi wa barabara kuu ya Nairobi ambayo imechukua miaka miwili sasa. 
04:18
August 28, 2021
UNEMPLOYMENT IN KENYA
Lack of employment in Kenya is the major source of all crimes being committed especially  during this covid 19 error where a good number of people were excommunicated from their area of work and this has contributed to a poor economy and low standard of living.   
06:54
August 28, 2021
GENDER BASED VIOLENCE
Many people think that gender violence only happens to women or ladies but no this is something that is happening to every individual in Kenya. Lets all join hands and stop GENDER BASED VIOLENCE
12:36
August 28, 2021
ACCELERATING ACCESS OF EDUCATION TO GIRLS IN KENYA
The research indicates that most girls have dropped out of school since the out break of covid 19 in kenya.This is due to the challenges that girls go through that make them not to continue with education after may be getting pregnant or even due to lack of school fees and so on.Its therefor our responsibility to find solution on this so as to make them continue with their education as boys do.
01:11:45
August 28, 2021
Effects of covid on people living with disabilities
Effect of covid 19
07:36
June 28, 2021
Effects of Drugs
causes of 
11:30
June 28, 2021
Haki za wakimbizi
Wakimbizi wana haki 
13:11
June 28, 2021
Dhulma za kijinsia
Je umewahi kumbana na 
05:49
June 28, 2021
Rights of women to inherit
women have got rights  to inherit
15:24
June 24, 2021
Makalu ya mtoto wa kiafrika
Unaelewa nini kuhusu siku ya mtoto wa 
14:00
June 16, 2021
BAGETI YA 2021-2022
Bageti ya mwaka huu imeathiri sana wafanyi biashara  wa viuma mbao  na vifuri.
06:56
June 11, 2021
Ushuhuda wa Ajema
Sikiza ushuhuda  huu naamini  utajitia 
21:19
June 08, 2021
Lishe bora
Siku zote hakikisha kuwa unapata lishe 
06:40
June 08, 2021
COVID 19 FUNDS
Follow the money in your county 
09:31
June 08, 2021
Maendeleo ya Kaunti
Baadhi ya kaunti zimepiga hatua kwa 
05:47
June 08, 2021
Wamama kwenye siasa
Mwanamke akipewa nafasi ya kuongoza anaweza akafanya 
12:18
June 08, 2021
Uhuru wa vyombo vya habari
Je unahisi kuwa vyombo vya habari vinakupa habari unazozitaka
09:48
June 08, 2021
Uchaguzi mdogo Bochae
Hatimaye  mshindi  wa kiti cha ubunge eneo la Bochae apatikana 
01:27
June 07, 2021
Usafiri Nairobi
Watu wengi huchelewa shuguli zao za kawaida hapa Nairobi  kutokana na msongamano wa 
01:12
June 07, 2021
Ufunguzi wa shule
Hali ya ufunguzi wa shule muhula wa tatu ukoje katika eneo  lako
01:28
June 07, 2021
Haki ya akina mama kuridhi mali
4Wanawake wanafaa kupewa haki ya kuridhi mali za waume zao au hata walikozaliwa
17:53
June 07, 2021
Topline Advert
Topline school the place to be, form 1-3 and class 1- 3 admission  is on going 
00:43
June 07, 2021
Security
Eneo ulipo ni salama
01:59
June 07, 2021
Michecheto za Ghetto fm
Pata habari motomoto
05:18
June 07, 2021