99.9 GHETTO FM Jun 08, 2021
KINA MAMA WAJAWAZITO WA MUKURU KWA RUBEN WATATIZIKA WAKATI WA KUJIFUNGUA KWENYE GIZA BAADA YA KENYA POWER KUONDOA UMEME KATIKA MAENEO HAYO
WENGI WA AKINA MAMA WAJAWAZITO MUKURU KWA RUBEN WAPATA TAABU KWENYE LEBA KATIKA GIZA
UGAVI WA BASARY KATIKA VITONGJI VYA NAIROBI HAUWAFIKII WALE WANAFUNZI WANAOFAA NA WASIOJIWEZA
WANAFUNZI WASIOJIWEZA WATAMBULIKE NA WAPATE MSAADA WA KUSIMAMIA MASOMA YAANI BURSERY
WANAFUNZI WA VITONGOJI DUNI HAWAFANYI SAWIA NA WALE WA SHULE ZA MAENEO MAZURI HUKU WALIMU WAKIAMUA KUUNGANA PAMOJA
WALIMU WA SHULE ZA GHETTO NA SHULE ZA MAENEO MAZURI WAUNGANA KUZIBA PENGO ZA UTOFAUTI ULIOKO
WAKAAZI WA VIJIJI VYA NAIROBI WAGEUKIA MATIBABU YA KIENYEJI KUTOKANA NA UGUMU WA KULIPIA NHIF.
Asilimia kubwa ya wakaazi wa vitongoji vya Nairobi hawawezi kujimudu kimatibabu sasa wageukia kienyeji
INCLUSION OF PWDS IN BUDGET PROCESSING
Many PWDs are complaining that they are not included in Budget processing hence urging the government to include them
NAIROBI ADP REVIEWED BY IBP
NAIROBI ANNUAL DEVELOPMENT PLAN IS OUT AND REVIEWED BY THE NAIROBI BUDGET FACILITATORS AND CHAMPIONS.
TABIA NCHI YATOKA MASHINANI HADI KWENYE VICHWA VYA HABARI
Climate change is everyones concern including women who are most affected.
COVID 19 VACCINATION
PATACHANJOUWECHONJO
TUNZA MAZINGIRA
Ni jukumu la kila mmoja kuakikisha kuwa anatunza mazingira.
CLAIM THAT TURKANA SOUTH MP's GOVERNMENT VEHICLE WAS CAUGHT WITH FIREARMS IS MISLEADING
According to Twitter user @polo_kimani, a vehicle with government registration and allegedly belonging to Turkana South MP, James Lomenen, was caught with purchased firearms. The tweet, dated 14 February 2023, was also accompanied by photos of the vehicle, its occupants and the said firearms.
Senator Ledam Olekina`s Claim that if one borrows Kshs.500 from Hustler Fund they will pay back Kshs.547.50 on the 15th Day is Misleading
KALONZO'S POST ON TWEETER NOT TO BE PART OF AZIMIO IS FALSE
A digital card shared by Kakamega County Senator, Boni Khalwale, bearing the branding of Kenyan news outlet NTV, claiming that Wiper Party leader, Kalonzo Musyoka, will no longer attend Azimio rallies, is fake.
Khalwale shared the poster via his Twitter account on 27 January 2023.
THE VIDEO THAT WAS GOING VIRAL ON SOCIAL MEDIA SHOWING AMAN BEING ROBBED IN THE STREETS OF NAIROBI IS FALSE
Pesa check has looked in to the claim and report that the act is not in Kenya
CLAIM THAT OVER 40MILL1ION `VOTED AGAINST PRESIDENT RUTO DURING GENERAL ELLECTION IS FALSE
Pesa check has looked in to this claim and report that this claim is false
Claim on cost of living is dropping by Nandi Senator was misleading
Pesa check has found out that the claim was false and that this was when some few supermarkets had promotions on their goods.
WANAWAKE WADHULUMIWA MAJENGO KUTOKANA NA MILA NA DESTURI KALI
Chanzo kuu cha dhulma ya kijinsia eneo la majengo hapa Nairobi ni mila na itikadi kali. Unafikiri serikali inaweza fanya nini ili kuondoa baadhi ya mila na itikadi kali?
MAISHA YA UGAIBUNI
Pesa zipo ila changamoto sii haba
UPEKUZI WA WABAKAJI
Its hightime as a country to hold hands together to stop rape cases among our young girls and push the agenda of finding justice to the victims even when the perpetrators think they will go free and continue threatening the victims. We call upon the government to act promptly to these isseus to save the lives of our girls.#justicebeourshelderdefender.
MASOMO YA KUPANGA UZAZI SHULENI ENEO LA MUKURU KWANJENGA
Swala la kupanga uzazi kwa watoto wa kike walioshuleni linafaa kutiliwa maanani ili kuzuia uja uzito wa mapema
FORCED BEGGING ON WOMEN LIVING WITH DISABILITIES
Most disabled women who beg in town are foreigners from neighboring countries, it has been revealed that these women are employed with other some wealth people
FWATAMKWANJA MTAANI
Waakazi wa eneo la mukuru kwa njenga wanaiomba serikali kuwajumuisha katika ugavi wa pesa zozote zinazotolewa ili kuwafikia watu wanaonuiwa
MAISHA YA UGAIBUNI[LIFE IN GULF]
Maisha ya ugaibuni yanaonekana magumu kwa baadhi ya akina dada wengi wakiteswa ila wengi wanaishi raha mustarehe
DHULMA YA KIJINSIA KWENYE KAMPENI
Kina mama wengi wanapitia dhulma za kijinsia haswa wakati huu wa kampeni unafikiri ni mbinu gani tunaweza tumia ili kupunguza swala hili.
NAIROBI COUNTY TRANSPARENCY SURVEY, WHY DID WE SCORE 56 POINTS ?
Nairobi county has improved in terms county budget transparency, , Its among the top 9 counties that did better.But the question remains what do you think should be done?
BAJETI YA KILIO YA 2022-2023
Bajeti isiyo yakawaida
SHEREHE YA KILIO KWA AKINA MAMA
Licha ya taifa kusherekea siku kuu ya akina mama duniani wengi wao wanaendelea kupaza sauti za kutafuta haki zao.
WANAWAKE TUONDOE DHANA KUWA MWANAMKE NI ADUI WA MWANAMKE MWENZAKE NA TUUNGANE MIKONO KATIKA UONGOZI.
Swala la mwanamke ni adui wa mwanamke mwenzie limekuwa likijadiliwa vijijini na wengi wanadokeza kuwa wanawake wengi hawana uroho wa kuungana mikono katika uongozi aidha wengi wanapuuzilia mbali dhana hii na kutoa kauli ya kuungana mikono kama wanawake.Kwenye makala haya nimeangazia maoni tofauti ya uongozi wa wanawake.
FOLLOW THE MONEY LAUNCH PHASE 2
Follow the money project in kenya headed by Head of projects SIDAREC CENTER Eve Mathai has done so much on identifying and following the covid 19 funds that were released by the govt, this was during the first phase. This time CTAP headed by Executive Director Hamzat Lawal has launched the second phase of follow the money, this time with the aim of doing research on the issue of covid 19 vaccination and the whole state of Health in Kenya and in Africa at large.
CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WANAOHUDUMU MAKANISANI
Wanawake wanapitia changamoto sii haba wanapoendelea kueneza huduma wao makanisani.
CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAWAKE WA KIKE KATIKA HUDUMA KANISANI.
Wanawake wanaendelea kupitia changamoto nyingi wanapoendelea kueneza neno la Mungu makanisani.
WORLD RADIO DAY [CHANGAMOTO WANAZOPITIA WANAHABARI WA KIKE ]
Hii leo Kenya imejumuika na mataifa mengine kusherekea siku kuu ya Radio nchini. Mada kuu ikiwa uwaminifu kwa wanahabari wa stasheni za kijamii,aidha taifa linaposherekea siku hii wanahabari wanaendelea kupitia changamoto sii haba.Karibu tuzijadili pamoja na tutafute suluhisho pamoja.
TUKOMESHE UKEKETAJI KWA WASICHANA WETU
MILA ZA UKEKETAJI ZIMEWEZA KUWAATHIRI WASICHANA WENGI HUMU NCHINI NA HATA KUSABABISHA UNYANYAPAA MIONGONI MWAO.KAMA TAIFA NI WAJIBU WA KILA MMOJA KUSAHAU MILA ZA KITAMBO ZISIZO NA MISINGI YOYOTE.
UAVYAJI MIMBA BAINA YA WASICHANA WACHANGA
Swala la uavyaji mimba linaendelea kukithiri mitaa zetu za mabanda kiini kikuu kikiwa mimba zisizotarajiwa.Unafikiri nini huchangia swala hili?
HOW CAN WE DO AWAY WITH GENDER BASED VIOLENCE ON YOUNG GIRLS AND CHILDREN
As Kenya gets into 16 days of activism lets all join hands to stop Gender Based Violence to children and young girls and help needy families get justice.
STOP KILLING OUR WOMEN
As we enter into 16 days of activism against GBV lets join hands together to do awareness against the killing women.Remember they are our mothers, sisters, lovers, wives and even our aunts,lets find a better way of finding solutions whenever there is a disagreement in a marriage or a relationship killing each other especially a man killing a woman is not the solution.
CHAMUKO LA GHETTO FM MIDA YA SAA 1 USIKU TAREHE 2 MWEZI WA NOVEMBA
Tume ya CRA imetoa ugavi wa raslimali kati ya serikali kuu na magatuzi.Hata hivo serikali za kaunti zimepata mgao wa bilioni 370 za mwaka wa kifedha 2022/2023.Haya yanajiri baada ya magavana na maseneta kutoa malalamishi kuwa kuwa kiasi hicho cha pesa ni kidogo kulingana na mipangilio yao ya kaunti.
WOMEN IN LEADERSHIP
Women can do better when given chance to lead for they have the nature of equal balancing and multitasking.
STRESS MANAGEMENT TO SINGLE MOTHERS RAISING DISABLED CHILDREN
The research done by the Action the foundation organisation partnering with the government shows that most single mothers raising disabled children are suffering from stress after their husbands deny their responsibility, here we discuss on how such mothers can get help from their situation
WOMEN IN LEADERSHIP
If women are given chance to lead they can do better for they have a natural way to multitask and treat people equally.Its hightime for women to stood up and participate in any leadership chance that come a cross in the community.
HOW TO OVERCOME DEPRESSION AMONG YOUNG PEOPLE
Depression has become a big problem especially on young people, here we discuss causes and how someone can control depression
VIOLATION OF RIGHTS FOR YOUNG MEN AND WOMEN
The rights of most people have been violated hence many of them does not know how to go about it to find justice, here we discuss some of rights that have been mostly violated
THIS IS NOT THE JOB I WANTED NOT THE ONE I APPLIED FOR
Have you ever find yourself in a situation that you have been given ajob that you didnt expect like ,,its not the real work you applied for.
DO YOU THINK KENYA IS ON THE RIGHT TRACK CONCERNING THE ISSUE OF ACHIEVING VISION 2030
President Uhuru Kenyatta has got the shortest time left in office to finish thw Big 4 agendas that is leading us towards achieving the vision 2030.Do you think we are on the right track.
NAFASI YA MZALIWA WA KWANZA KATIKA JAMII NI IPI
Ni bayana kwamba wazazi wengi huwalimbikizia wazaliwa wa kwanza majukumu mengi.Hapa tutajifunza nafasi ya watu hawa katika jamii
URBAN FARMING CAN BE ONE OF THE WAY TO FIND SOLUTION ON SDGs number one Zero hunger
We can fight hunger by practicing urban farming. You dont need many acres of land for you to practice urban farming.This will make us achieve our right to food without depending on govt
MEN TOO NEED TO BE EMPOWERED AS WOMEN
For sometimes now women have been well empowered hence handling issues to them is no longer a problem.This has made a male child to remain behind in most decision making and many other ways to find solutions.They therefor plea with nun governmental organizations to consider empowering them as well.
WALIOHITIMU WAJIBWAGA KWENYE BIASHARA
Ni nadra kwa muhitimu kupata nafasi ya kazi haraka pindi tu anapojinyakulia stakabadhi zake za chuo kikuu au hata cha kati hivyo basi wengi wa waliohitimu huamua kuingia katika biashara ili kuendelea kukimu mahitaji yao na hata kulipa mikopo waliochukua ili kulipa karo zao.
RIGHT TO FOOD TO WOMEN LIVING WITH DISABILITIES
All Kenyans have the right to food though this has been a big problem to women living with disabilities since covid 19 stricked into our country.These women from Mukuru kwa njenga who are more than 30 are therefore pleading with the government or any other organisation to cheap in and assist them to meet their right of food.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
HAKUNA KAZI YA MWANUME NA YA MWANAMKE KAZI NI KAZI
WANAWAKE KATIKA JAMII WAMEWEZA KUBAGULIWA KILA KUNAPOTOKEA NA NAFASI ZA AJIRA.MAKALA HAYA YANAANGAZIA WANAWAKE HODARI AMBAO WANAPUUZILIA MBALI KAULI YA JAMII.
LOW MILK BREASTFEEDING MOTHERS
Lactating mothers are going through hardship in feeding their young ones due to low milk flow supply hence due to this most mothers do not feed their children on milk only for 6 months as it is supposed to be according to the ministry of health.