Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.
By hussein shaibu
Sehemu itakayo mfungua kijana wa kiislamu na kubadili fikra zake.
Kijana Wa Kiislamu Na Maendeleo.May 08, 2020
00:00
13:19
Elimu unazopaswa kuzijua kama kijana wa kiislamu.
Ukiishi katika misingi ya kujifunza basi kuna mengi utatakiwa kujifunza kwa faida yako! Nimekuandalia Aina za Elimu ambazo unapaswa kuzijua kama kijana wa kiislamu kwa faida yako na jamii nzima ya kiislamu.
May 30, 202018:25
Jinsi gani unaweza kuwa na mchango katika jamii yako?
Usichukulie udogo wa uchumi wako, umri wako, elimu yako, n.k kuwa ni sababu moja wapo ya kuwa huwezi kuwa na mchango katika jamii yako HAPANA! Sikiliz podcast hii na ujue wapi pa kuanzia.
May 08, 202013:19
Yajue mambo matano muhimu ya kuwek malengo makubwa katika Ramadhani hii.
Si rahisi kufika daraja za juu kimaisha na hata kiimani kama hatuma lengo mama au malengo mengine yanayoliunga lengo kuu, wewe ni kiumbe uliyeumbwa kwa lengo maalumu vipi uishi pasi malengo katika maish yako?
Apr 22, 202015:28
April 19, 2020
Apr 19, 202000:60