Skip to main content
Seth wa East

Seth wa East

By Sungusia Tenga

Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!
Available on
Apple Podcasts Logo
Castbox Logo
Overcast Logo
Pocket Casts Logo
RadioPublic Logo
Spotify Logo
Currently playing episode

Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable

Seth wa EastMay 06, 2020

00:00
16:57
Work on yourself 🤍 Reminder

Work on yourself 🤍 Reminder

Share with someone who needs to hear this today they might thank you.
Mar 04, 202102:13
What's Love Reminder ❤️🌹

What's Love Reminder ❤️🌹

Say YES if you know this feeling
Mar 03, 202103:40
A Real Friend Reminder

A Real Friend Reminder

Tag a real Friend!
Mar 03, 202105:44
Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable
May 06, 202016:57
Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona

Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona

Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake.

KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA TUMEAMBUKIZWA TAYARI AU WALIOTUZUNGUKA WAMEAMBUKIZWA AMA LAH


Apr 16, 202012:26
Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu
Apr 07, 202020:51
CORONA ITAKOMA!

CORONA ITAKOMA!

Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali kunasaidia kuepusha kusambaa kwa virusi kwa sababu mtu aliyeathrika na virusi vya corona anaweza kukohoa au kupiga chafya inayoamabatana na mate yaliyobeba virusi hivyo kaka karibu, unaweza kuvuta virusi hao.

Tazama  Filamu iliotoka 2011 ya 'Contagion' Wakiwemo waigizaji maarufu kutoka Hollywood

  • Matt Damon
  • Laurence Fishburne
  • Gwyneth Paltrow
  • Jude Law




Mar 30, 202014:46
ENCORE

ENCORE

Seth wa East anauliza? Je Upo tayari!

Feb 29, 202001:11
Jock Joker Time. ep1

Jock Joker Time. ep1

Cheka  kidunchu. It's not that offical 

Sep 18, 201802:09
Nitunze Nikutunze

Nitunze Nikutunze

Wiki ya Mazingira, Je! dustbin(Vyombo vya kuweka taka) Vinajitosheleza kwenye miji yetu?
Jun 05, 201804:14
Tabasamu

Tabasamu

Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo
Apr 23, 201804:29
Mchanakazi

Mchanakazi

Daily noon hustle
Apr 08, 201802:57